Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Ahsanteni sana UKAWA maana mumebeba taswira ya Watanzania tulio wengi. Mubarikiwe.
 
Chama cha kijani ni zaidi ya ukijuavyo, wengi wao waliomo ndani wanalinda maslahi ya matumbo yao, watakula wapi endapo wakisema ukweli mkuu?. kumbuka kuwa kila mwamba ngozi, huvutia upande wake, je endapo wana CCM wakijichoma wenyewe kwa ukweli, unadhani ngozi yao itavutwa na nani?

hebu tazama siasa za nchi nyingine duniani, vyama tawala huwa vinatawala vipi nchi?

je, endapo vyama tawala vikiwa vinajipiga sindano za ukweli, unadhani wapinzani watakula wapi??

kiufupi, wana wa kijani wapo pale kimasilahi..
 
Ha Ha Haaahhhh, Interahamweeeeee Naona Wamebaki Bungeni Kuendeleza Sera Yao Ya Serikali Mbili Bila Hoja Za Msingi. Its So Funny With This Bongo Politics !!!!

By The Way Tangu Bunge Limeanza Na Huu Mjadala Wa Ibara Ya Kwanza Na Ya Sita, Kinachofanyika Ni Kurudia Hoja Zile Zile Za Uoga Wa Kuvunjika Kwa Muungano, Uongo Wa Gharama Halisi Za Kuendesha Serikali Tatu, Matusi Kwa Jaji Warioba Na Tume Yake, Sera Za Kibaguzi Zaidi Zikiwahusu Wapemba Na Kuattack Personality Za Watu Badala Ya Kujenga Hoja.

Kwa Hali Inavyoendelea Inaonesha Dhahiri Shairi Kuwa Waumini Wa Serikali Mbili Wengi Wanafuata Mkumbo Ndio Maana Katika Kumi Wanaosimama Tisa Watarudia Kile Kile Na Zaidi Wataongeza Ubaguzi Na Matusi Mapya Kitu Ambacho Hakitatupeleka Katika Kupata Katiba Nzuri Ya Wananchi.

Mm Binafsi Mtazamo Wangu Ni Muundo Wa Muungano Wenye Serikali Ya Muungano Ikiongozwa Na Raisi Wa Muungano Huku Nchi Shiriki Kila Moja Ikiongozwa Na Waziri Mkuu Wake Atakeyeshughulika Na Masuala Yote Yasiyo Ya Muungano Nchini Mwake.
Naona na wewe ni mmoja kati ya waliotoka, vp umeshasaini posho?! Kwa nn unakimbia kama unaamini hoja yako ina nguvu? Kajifunzeni siasa na bahati mbaya Mwl wa siasa Mwl Nyerere mna mdhihaki kweli hamuwezi kufanikiwa.
 
Inabidi uhurumiwe sana kwa kuwa kana kwamba leo ndiyo unaingia hapa duniani lakini mimi sikushangai sana kwa kuwa ni miongoni mwa watu ambao akili yao wameshikiwa na ukawa pamoja na vyama vyao vya siasa.
 
Wana jamvi kuna taarifa kuwa watetezi wa katiba ya wananchi(ukawa) watapita kila kaya nchini kote kupiga mikutano ya kukusanya nguvu za wananchi kudai katiba mpya yenye maoni ya wananchi kama walivyo ya toa mbele ya tume ya warioba,wajumbe wa ukawa wametoka kutokana na mwenendo mbaya wa bunge unao fanywa na wajumbe walio wengi wanao dharau maoni ya wananchi yaliyo tengeneza rasimu iliyo pendekeza mfumo wa serikali 3 ambayo inajadiliwa bungeni huku upande wa ccm wanataka serikali 2 ziendelee kinyume na maoni ya wananchi walio taka 3 gorvement
Wewe peke yako ndio uwaelewi ndio maana hujaelewa kabisa.
Unahitaji kichwa kingine chenye uwezo zaidi yako kifikiri badala yako!
Umefungwa na udanganyifu wa zaidi ya miaka hamsini sasa!
 
Yaliyotokea ni makubwa...ishara ya uimara wa KUNDI LA UMMA kuelekea ukombozi wa Taifa lao la Tanganyika na Zanzibar kuwa HURU.

UKAWA - 'Umoja wa Katiba ya Wananchi' - wamejitoa ktk Vikao vya Bunge la Katiba linalodhulumiwa na ma-ccm ambayo kutokana na ubaguzi wao kwa wananchi wasio wana-ccm and hasa wa-Pemba, Mh Prof Lipumbe ametoa hotuba kali sana, na liwafananisha Ma-CCM na kundi la INTERAHAMWE ambalo ni kundi harari mno lililosababisha na kuchochea ubaguzi Rwanda hadi kuleta mauaji ya kimbari wa zaidi ya wanyarwanda milioni 1...

Pamoja tutafanikiwa! Hata Kenya walinyanyaswa sana na Chama Tawala chini ya KANU ya MOI hadi Wapinzani wakaungana, na mwisho wa KANU ukatangazwa rasmi...KANU ipo wapi leoo?...ndio tunaelekea hukoo!

CCM = INTERAHAMWE tu.

....well Noted Mkuu asante sana !!!
 
Kwani serikali tatu inagawa madaraka kwa chadema?
 
Kusema cha ukweli wabunge wa zenji CCM wamejidhalilisha sana
 
Nathubutu kujiuliza hili swali kwasababu nawaona wachangiaji wote waliobaki humu kwenye bunge la katiba wakisimama kuchangia hawazungumzii kitu cha maana au kujenga hoja za maana zinazohusu kufungu namba 6, badala yake wanaongea mipasho na kuwaponda UKAWA.
Kila mchangiaji haweki hoja madhubuti iliyo na mashiko kutetea serilaki mbili anazozitaka na kupambanua udhaifu wa serikali 3 wanazozitaka UKAWA.
The big deal kwao imekuwa kuongelea tundu lisu amemtukana nyerere, mara Haji Duni anaitwa babu wakati hana mjukuu, mara Mbatia hajui takwimu.
Sasa hizi posho wanazochukua wanazitendea haki gani??
Mimi naona hili bunge halitasaidia lolote zaidi ya upotevu wa pesa tu.
Swali; je ni kweli ukiwa m-CCM unajiwekea mipaka ya kufikiri na kupambanua hoja ambazo wananchi wanatarajia??

ccm ni kichaka cha vijana wavivu wanaojiita wasomi! kama huamini angalia utendaji wa vijana wanaccm wasomi kwenye ofisi za umma!
 
Hakuna mwenye utashi wa kiasiasa kati ya wale,tupo hapa tutaona mwisho wao,leo lipumba yupo pamoja na prof safar ijulkane kuwa Safar aliikimbia cuf baada ya kuona hawez chukua mikoba ya lipumba,sasa leo lipumba,safar,mbowe,mbatia hahahahahahaaha hakuna anaetaka kuwa chin hapo watazid aibika tu wananch ndo sisi na sisi ndo tumeipigia kura CCm chaguz ndogo zote inashinda kwa kishindo...


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Back
Top Bottom