Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

kuna kauli nyingi zinatolewa na wajumbe bunge la katiba za kumkebeh na kumkashifu mzee warioba BENAD MEMBE leo amesema kama ikitokea serikali 3 tume ya warioba itakumbukwa kwa kuleta machafuko na umwagaji wa damu nchini.....anayesema hvi ni waziri wa mambo ya nje hvi kwani yale maoni ni ya jaji warioba au ya wananchi?...mjumbe mwingne toka zanzibar alisema wanaotaka serikali 3 ni wachochezi.....
 
Hata nyie mnaojadili mnaufinyu wa kufikiri kwasababu ya ccm kutawala ndio maana mpo ukawa
 

Hayo maoni ya serikali mbili CCM wameyakusanya lini na wamemshirikisha nani? Msitake kujenga hoja zisizo na msingi wowote. Kama wabunge wa CCM wanadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho,suburi waje waone kwenye kura za maoni na ndio utakuwa mwanzo wa CCM kufutika katika uso wa dunia.
 
Sijui CUF na NCCR wametokana wapi na hawa wahuni wa CHADEMA. ni aibu sana!
 
Kama nchi ni moja basi serikali iwe moja! Hamna mana kwa Z'BAR kuwa na bendera,raisi,wimbo wa taifa n.k. KWA KUWA Z'BAR ni MARA MBILI ya mkoa wa TABORA,basi tuigeuza kuwa mkoa mmojawapo wa TANZANIA,chini ya muundo wa serkali moja.
 

Ushabiki tu ila Huna akili ya kupinga hoja nzito kama za ukawa,
Jipange kwa hoja.
 
Wawaache watanzania wenye nchi yao watunge katiba yao na ya vizazi vyao hao vibaraka wa magharibi watoke kabisaa
 
I would suggest vyama vya upinzania visiishie hapa, viungane viunde chama kikubwa chenye nguvu

Sawa kabisa ila ZZK na A.L.Mrema wasiwepo. Hao watu ni sumu ya upinzani imara wa nchi hii.
 

Well said mkuuu hawa jamaa hawapo makin ktk mipango yao na kwa mwendo huo CCm itaendelea washinda tu hata wafanye nn hawana mikakati yenye akili...poor upinzanTz


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

Kaa chini ndugu utafakari kwanza kabla hujaropoka.
 

Huna akili nmekwambia kufail darasan isiwe kigezo chako ww kufail na maisha pia,muda bdo upo komaa ujikomboe mende ww


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hawa jamaa hawana jipya kabisa ni bora waache siasa kabisa wanakera sana.

Mimi nilishahisi toka awali! Mbowe hawezi kuwa kiongozi wa UKAWA ilihali hata CHADEMA imemshinda. Sasa ule ushenzi waliokuwa wanaufanya CHADEMA bungeni wanauhamishia kwenye bunge la katiba, inaudhi sana. Tunakatwa kodi, halafu mijitu kama hii inalipwa, badala ya kufanya kilichowapeleka mnaanza kutafuta sifa za kitoto
 
Kamwe mungu hawatokei wala hawezi kuwa upande wa wenye hasira na wanafiki kama ukawa labla kwa mtindo wa mkate
 
halafu ccm wasi msakame mzee Warioba, kwani yeye katika rasimu hakuwa anawasilisha mawazo yake, bali ya wananchi, hivyo ku refer kwenye matamko yake binafsi sio halali kwani hayo ni mawazo yake kama warioba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…