Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

kuna kauli nyingi zinatolewa na wajumbe bunge la katiba za kumkebeh na kumkashifu mzee warioba BENAD MEMBE leo amesema kama ikitokea serikali 3 tume ya warioba itakumbukwa kwa kuleta machafuko na umwagaji wa damu nchini.....anayesema hvi ni waziri wa mambo ya nje hvi kwani yale maoni ni ya jaji warioba au ya wananchi?...mjumbe mwingne toka zanzibar alisema wanaotaka serikali 3 ni wachochezi.....
 
Mkuu tatizo lenu ukawa mnawaza madaraka mda wote baada ya kuona hoja ya serikali tatu haina mashiko sasa mnahangaika kama watu waliokwenye mafuriko.

Kwa sasa watanzania siyo watu wakupotoshwa na wanasiasa wahuni kama hawa wenye maslahi binafsi na familia zao.

Tangu uwe uakawa umejifunza nini zaidi ya kujua matusi na kejeli?

Hayo maoni ya serikali mbili CCM wameyakusanya lini na wamemshirikisha nani? Msitake kujenga hoja zisizo na msingi wowote. Kama wabunge wa CCM wanadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho,suburi waje waone kwenye kura za maoni na ndio utakuwa mwanzo wa CCM kufutika katika uso wa dunia.
 
Sijui CUF na NCCR wametokana wapi na hawa wahuni wa CHADEMA. ni aibu sana!
 
Kama nchi ni moja basi serikali iwe moja! Hamna mana kwa Z'BAR kuwa na bendera,raisi,wimbo wa taifa n.k. KWA KUWA Z'BAR ni MARA MBILI ya mkoa wa TABORA,basi tuigeuza kuwa mkoa mmojawapo wa TANZANIA,chini ya muundo wa serkali moja.
 
UKAWA n wanafik wakubwa wale,wamechukua POSHO leo saa Tano na nusu na wamechukua pesa mpaka tr 31/4..kama walikuwa na lengo la kutoka y wasingetoka jana na kwannn wasiache zile pesa warud kwetu tuwaamin kama wapo kwa ajil ya waTz???ukawa n wahuni wote niseme hvo na wanatarajia sympath yetu wananchi wanashindwa elewa kuwa chaguz ndogo zote zilizopita CCM imewaburuza mbaya wapinzani.maskin upinzan hauna dira


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Ushabiki tu ila Huna akili ya kupinga hoja nzito kama za ukawa,
Jipange kwa hoja.
 
Wawaache watanzania wenye nchi yao watunge katiba yao na ya vizazi vyao hao vibaraka wa magharibi watoke kabisaa
 
I would suggest vyama vya upinzania visiishie hapa, viungane viunde chama kikubwa chenye nguvu

Sawa kabisa ila ZZK na A.L.Mrema wasiwepo. Hao watu ni sumu ya upinzani imara wa nchi hii.
 
Mbona sasa cdm mmekua cuf ya Tanganyika! Sio tume huru ya uchaguzi inayofanya mnashindwa uchaguzi, ila hamjakubalika wala kuaminika na wapiga kura. Kila wakati mnakua na mkakati wa ovyo. Hivi kuvunja jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kuweka serikali legelege ya muungano na kumtukana muasisi wa taifa ndio itawaongezea wafuasi nchini?

Well said mkuuu hawa jamaa hawapo makin ktk mipango yao na kwa mwendo huo CCm itaendelea washinda tu hata wafanye nn hawana mikakati yenye akili...poor upinzanTz


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Leo kimetokea kituko baada
ya wale wanafiki wenye lengo baya na Tanzania kutoka nje baada ya
kuonyeshwa mkataba wa muungano.

Wanafiki hao walipigwa na butwaa baada ya kuona mkataba huo live bila
chenga. Ndipo walipoona wamefilisika kwa hoja na kukimbia.

Kaa chini ndugu utafakari kwanza kabla hujaropoka.
 
duh, hii ni aibu jamani! karne hiiiiiii?

....

.....Udhaifu wa Akili Kichwani...
(UWAKI) ni Hatari kwa Afya ya Taifa letu !!!


attachment.php
 
urojo tu...unahemka bila hoja...toa akilini mwako na sio maneno ya mhuni wassira aliyemkimbia Nyerere na sasa anajisahau kuwa ndiye mtetezi..

wewe 'uzao wa interahamwe' = akili zenu wote zile zileeee! unatafuta tu 'nkononi-tumboni' yaani shibe ya siku! useless you!

Huna akili nmekwambia kufail darasan isiwe kigezo chako ww kufail na maisha pia,muda bdo upo komaa ujikomboe mende ww


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hawa jamaa hawana jipya kabisa ni bora waache siasa kabisa wanakera sana.

Mimi nilishahisi toka awali! Mbowe hawezi kuwa kiongozi wa UKAWA ilihali hata CHADEMA imemshinda. Sasa ule ushenzi waliokuwa wanaufanya CHADEMA bungeni wanauhamishia kwenye bunge la katiba, inaudhi sana. Tunakatwa kodi, halafu mijitu kama hii inalipwa, badala ya kufanya kilichowapeleka mnaanza kutafuta sifa za kitoto
 
Kamwe mungu hawatokei wala hawezi kuwa upande wa wenye hasira na wanafiki kama ukawa labla kwa mtindo wa mkate
 
halafu ccm wasi msakame mzee Warioba, kwani yeye katika rasimu hakuwa anawasilisha mawazo yake, bali ya wananchi, hivyo ku refer kwenye matamko yake binafsi sio halali kwani hayo ni mawazo yake kama warioba
 
Back
Top Bottom