kuna kauli nyingi zinatolewa na wajumbe bunge la katiba za kumkebeh na kumkashifu mzee warioba BENAD MEMBE leo amesema kama ikitokea serikali 3 tume ya warioba itakumbukwa kwa kuleta machafuko na umwagaji wa damu nchini.....anayesema hvi ni waziri wa mambo ya nje hvi kwani yale maoni ni ya jaji warioba au ya wananchi?...mjumbe mwingne toka zanzibar alisema wanaotaka serikali 3 ni wachochezi.....