Sidhani unajua kinyaa.hata UKAWA hawana hoja punguani kama zakoJibu hoja acha kujifanya hujaelewa kilicho andikwa,,tatizo la wana ccm akili ndogo hadi matia kinyaa UKAWA NI WATETEZI WA MAONI YA WANANCHI CCM NI WATETEZI WA MATUMBO YA WAKUBWA WACHACHE WANA WAPEKELESHA BUNGENI KWA KUWATAKA MFUATE MATAKWA YAO. RUBISH WANA CCM MLIO SHIKIWA AKILI NA WASIRRA NA KUNDI LAKE.TUMIENI AKILI ZENU ACHEN UJUHA NYIE ,MTAAMLIWA HADI LINI.??
Hizi ndio hoja zenu.si majifahamu!
mkuu usishangae-aina ya amani wanayoihubiri watawala wetu wanaijua wenyewe tu.Ukistajabu ya musa utayaona ya firauni, kwa mara ya kwanza nimeshudia wabunge wa chama tawala wakiwemo na mawaziri wakiwa wanashangilia ubaguzi wa rangi, nimeshudia kwa macho yangu mawaziri na wabunge wakishangilia mambo haramu kama haya, nimeuzunisha sana lkn tukiendelea kushabikia mambo kama haya mbele naona giza ukizoea kula nyama ya mtu uutaacha kula tena utaendelea kula kila wakati mwl
Mkuu hata mie ninakubaliana nae ila kinachonisikitisha ni kuwa na double standard katika matumizi ya takwimu.Kama tukisema waliotoa maoni au waliotaka serikari 3 ni wachache basi kwa mtazamo huo huo hatukuwa na sababu ya kutangaza Ridhiwani kuwa mbunge wa chalinze,same to our presedent.na kadhalikaHi kauli ya ukawa kuwakilisha maoni ya waliowengi ndio inaonekana kama silaha ya UKAWA ulifatilia mchango wa Prof Remmy leo? kimsingi anasema yeye kabla kufika Dodoma alikuwa na msimamo waserikali 3 lakini baada ya kutafakari kwa kina na hasa alipochambua takwimu akaona hazina uhakisia,mf idadi kubwa ya watu waliotoa maoni ya muundo wa serikali 3 ni kutoka mikoa ya kigoma na Dar,
Maana yake maeneo mengine ya inchi wananchi tatizo lao sio muundo wa serikali, bali mambo mengine ya msingi katika maisha yao mathalani afya, kilimo, ardhi n.k, pia katika takwimu za tume zinaonyesha kuwa katika waliotoa maoni yao wapo mpaka watoto ambao hawajatimia umri wa miaka 18 ambao kimantiki uwezo wao wa kuchambua mambo bado uko chini na wenyewe wanafika kati ya 5% na 7% katika maeneo mengine, sasa kitakwimu hizi data hawezikutumiwa kufanya hitimisho kubwa la muundo kama lile ambalo tume imelifanya.
Minakubaliana na uchambuzi huu wa Prof Remmy kwa sababu una mashiko na hauko biased.
hiv wametoka moja kwa moja kurudi makwao au wametoka mara moja tu kesho wanarejea mjengoni?
Mambo ya ajabu sana.takwimu za kupotosha.hata waliohojiwa walilengwa kwa makusudi ya kupata matokeo fulani.inaelekeaHi kauli ya ukawa kuwakilisha maoni ya waliowengi ndio inaonekana kama silaha ya UKAWA ulifatilia mchango wa Prof Remmy leo? kimsingi anasema yeye kabla kufika Dodoma alikuwa na msimamo waserikali 3 lakini baada ya kutafakari kwa kina na hasa alipochambua takwimu akaona hazina uhakisia,mf idadi kubwa ya watu waliotoa maoni ya muundo wa serikali 3 ni kutoka mikoa ya kigoma na Dar,
Maana yake maeneo mengine ya inchi wananchi tatizo lao sio muundo wa serikali, bali mambo mengine ya msingi katika maisha yao mathalani afya, kilimo, ardhi n.k, pia katika takwimu za tume zinaonyesha kuwa katika waliotoa maoni yao wapo mpaka watoto ambao hawajatimia umri wa miaka 18 ambao kimantiki uwezo wao wa kuchambua mambo bado uko chini na wenyewe wanafika kati ya 5% na 7% katika maeneo mengine, sasa kitakwimu hizi data hawezikutumiwa kufanya hitimisho kubwa la muundo kama lile ambalo tume imelifanya.
Minakubaliana na uchambuzi huu wa Prof Remmy kwa sababu una mashiko na hauko biased.
Mathias Lyamunda
===>Hutasikia hoja za maana tena,utasikia mipasho mpaka mwisho,Heko UKAWA.
Ni kweli mkuu, kitendo cha amirijeshi kusema jeshi litachukuwa nchi kama katiba itaamua muundo wa serikali tatu na kwakuwa Lukuvi amem-second mkulu, katika ulimwengu wa roho ni kwamba ibilisi amepewa kibali na kawaida yake huwa hachelewi, ameshaanza maandalizi....bahati mbaya mabaya yakitokea kwa sababu ya upofu wa wanasiasa wanaoumia ni innocent citizens.
Kwahiyo ni wakati muafaka kuunganisha nguvu ili kubatilisha mipango ya ibilisi kabla hayajafikia hypnotic rhythm. Kiranga et al kuja huku kabla hatujachelewa
Hahahahaha!!!
Ndiyo mambo ya haka kaukoo chetu kaka, tunajitafunia matunda ya nchi wenyewe.
Lakini kwa nini wachukue posho kwanza?Kama kugomea wangegomea tangu mwanzo....upinzani itakuwa vigumu kuaminiwa na watu.......kwani hiyo rasimu ni muundo wa muungano peke yake?hakuna mambo mengine ambayo ni muhimu kwa wananchi ambayo yanahitajika katika katiba mpya?i cant support bunch of foolery