Ni kweli mkuu, kitendo cha amirijeshi kusema jeshi litachukuwa nchi kama katiba itaamua muundo wa serikali tatu na kwakuwa Lukuvi amem-second mkulu, katika ulimwengu wa roho ni kwamba ibilisi amepewa kibali na kawaida yake huwa hachelewi, ameshaanza maandalizi....bahati mbaya mabaya yakitokea kwa sababu ya upofu wa wanasiasa wanaoumia ni innocent citizens.
Kwahiyo ni wakati muafaka kuunganisha nguvu ili kubatilisha mipango ya ibilisi kabla hayajafikia hypnotic rhythm.
Kiranga et al kuja huku kabla hatujachelewa