Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjumbe wa bunge malumu la katiba mpanju ameendelea kutafuta huruma kwa kutumia ulemavu wake, baadhi ya wajumbe walisema yafuatayo kuhusu huruma ya mpanju anayotafu kwenye jamii, huwezi ukawa mjinga kama mpanju halafa ukatafuta huruma kwenye jamii kwa kisingizio cha ulemavu
Jussa: nasimamia matakwa ya Znz .. tunataka mamlaka kamili
Nyerere hakua malaika hakua Mungu na hajawa mtakatifu, ni binadam kama wengine-Lissu
Dada, hata mie nasikitika sana ninaposoma comments za Kayoka. Mungu amsamehe. Hajui atendaloMmmhhh mkuu kwa hili hapana
Usiseme hivyo
Hivi wewe na Kayoka mna ajenda gani na walemavu? Kama hoja ni kupinga mfumo wa serikali tatu, ni wasio walemavu wangapi wamepinga na mmekaa kimya?Baada ya maoni ya kipofu Mpanju sasa nimegundua ni kwanini Idd Amini alikuwa anawapakia kwenye lori na kuwamwaga mto Kagera.
Huyu wa Lindi si mnafki anawakilisha wapiga kura wa Lindi waliomchaguwa na anajulikana yeye ni cuf.Kwani mtu akiwa mlemavu hawezi kuwa mfuasi wa chama cha siasa? Mbona mbunge wa Lindi mjini ni mbunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CUF?
Mkuu, dah, haya maneno ya Mheshimiwa Yahaya Kassimu Issa ni mazito kweli!Wanotaka serikali tatu zanzibar wanataka kurudisha serikali ya kiarabu.
Kwani kipofu hawezi kuwa mwanachama wa CCM? Mkuu, kama swala ni kuwakilisha makundi ya kijamii, mbona Mwalimu Ezekiel Oluoch ni mfuasi na anatetea matakwa ya CHADEMA?Huyu wa Lindi si mnafki anawakilisha wapiga kura wa Lindi waliomchaguwa na anajulikana yeye ni cuf.
mnafki ni huyo kipofu ambaye anatakiwa awakilishe vipofu wenzanke badala yake na anajiunga kukata mauno kwenye mdundiko wa ccm, haya ndiyo aliyotumwa na vipofu wenzanke?