Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Siku mkivunja muungano na mtatoka mtaelekea kwenu. Hapa anawananga Wapemba. Haya maneno sijayafurahia kabisa. Kinachoonekana kuna vita kubwa kati ya watu wa Pemba na Unguja
 
Hivi wewe na Kayoka mna ajenda gani na walemavu? Kama hoja ni kupinga mfumo wa serikali tatu, ni wasio walemavu wangapi wamepinga na mmekaa kimya?

Tatizo huyu kipofu ameingia mjengoni kwa tiketi ya walemavu, badala ya kuwaakilisha walemavu wenzake yeye anakuwa wakili wa ccm.
 
Fathyiha Zahara Salum anasema kuwa wazanzibari walichoka kuuliwa ndo maana wakaamua serikali ya umoja wa kitaifa
 
Nimshangaa sana kuona anasema kalenga, chlinze tumewaiga kumbe yupo pale kwa ajiri ya maCCM na sio shirikisho la vywama vywa walemavu.
 
Kwani kipofu hawezi kuwa mwanachama wa CCM? Mkuu, kama swala ni kuwakilisha makundi ya kijamii, mbona Mwalimu Ezekiel Oluoch ni mfuasi na anatetea matakwa ya CHADEMA?
serikali 3 ni matakwa ya wananchi siyo Chadema, akili zako sasa zinataka kufanana na kipofu.
 
Zitto is next.

Ila amekuwa na heshima siku hizi na nimuumini wa serekali tatu, ngoja tutamsikiliza.
 
-------- sana yule Mrema nadhani akili yake yasumbuliwa na ugonjwa unaotafuna nywele zake.

Asitukumbushe mambo ya Mwembe Chai mpuuzi yule.

Acheze na akili ya wanaomueka mjini si Waislaamu / Uamsho wamemkosea nini hadi kuwananga kiasi kile..!?

Binti/mdogoangu shusha somo lisomeke.
 
Tatizo huyu kipofu ameingia mjengoni kwa tiketi ya walemavu, badala ya kuwaakilisha walemavu wenzake yeye anakuwa wakili wa ccm.
Hata Mwalimu Ezekiel Oluoch anawakilisha kundi la kijamii lakini anatetea maslahi ya chama fulani cha siasa
 
nadhani jinsia ni tunu ya dunia. maana kila sehemu kunakoishi viumbe hai zipo. mpaka hata mimea ina jinsia.
 
Wakuu,
Je naweza tune station gani niweze pata bunge live sasa hivi.Najaribu kwa neema radio ipo ila inasikika kwa taabu mno.Hata kama ni through internet nayo ni poa.
 
Mheshimiwa sana Zitto Kabwe anasema kuwa mchakato huu ambao ulipaswa kujenga maridhiano, unajenga hali ya ubaguzi na kuna lugha na kauli za kibaguzi zinatoka huku watu wakishangilia. Anasema kuwa tujadiliane kwa hoja, watu wajadiliane na wamue na kitakachoamuliwa ndicho kitakachoenda kwa wananchi
 
zittokabwe:mchakato unaotakiwa kujenga muafaka badala yake tunajenga chuki. Kauli za chuki zinatoka watu wanashangilia
 
Zitto anasema kuwa hakuna uhusiano wa muundo wa muungano na uimara wa serikali
 
Back
Top Bottom