Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanotaka serikali tatu zanzibar wanataka kurudisha serikali ya kiarabu.
unamjua lakini huyo mtu?
Kipofu Amon Mpanju.
Hivi wewe na Kayoka mna ajenda gani na walemavu? Kama hoja ni kupinga mfumo wa serikali tatu, ni wasio walemavu wangapi wamepinga na mmekaa kimya?
serikali 3 ni matakwa ya wananchi siyo Chadema, akili zako sasa zinataka kufanana na kipofu.Kwani kipofu hawezi kuwa mwanachama wa CCM? Mkuu, kama swala ni kuwakilisha makundi ya kijamii, mbona Mwalimu Ezekiel Oluoch ni mfuasi na anatetea matakwa ya CHADEMA?
Hata Mwalimu Ezekiel Oluoch anawakilisha kundi la kijamii lakini anatetea maslahi ya chama fulani cha siasaTatizo huyu kipofu ameingia mjengoni kwa tiketi ya walemavu, badala ya kuwaakilisha walemavu wenzake yeye anakuwa wakili wa ccm.