Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Zitto: Muundo wowote wa Muungano, uwe wa serikali 1, 2 au 3 bila maridhiano utavunjika tu!
 
Dah kweli kabisa. Yani hata mashine kama Robot au production lines zinautashi kidogo kuliko huyu mtu mropokaji kama mwehu.
Pima cd4 coz viruses wako wanaonekana kushambulia sehmu za ubongo. Ndio maana unapoteza kumbukumbu kisha uwahi kulala na mazoezi ni muhim
 
Dada, hata mie nasikitika sana ninaposoma comments za Kayoka. Mungu amsamehe. Hajui atendalo

Mungu amsamehe kwanza huyo kipofu ndipo aje kwangu.
Una mtetea kwa kuwa anashabikia ccm eeeh!
Yeye kama mwakilishi wa walemavu hakutakiwa kufanya yale anayoyafanya.
 
Zitto: Tunaweza tukawa na rais mmoja wa Serikali kuu na wakuu wa nchi washirika.
 
Zitto anasema kuwa tunao uwezo wa kuendesha muungano wowote kama tukiamua kukusanya kodi ipasavyo
 
Hivi wewe na Kayoka mna ajenda gani na walemavu? Kama hoja ni kupinga mfumo wa serikali tatu, ni wasio walemavu wangapi wamepinga na mmekaa kimya?

jipe moyo lakini ukweli ndo huo. Mpanju ni wa kupuuzwa kama ilivyo.
 
Zitto: Kuna jumla ya 2.3tril kila mwaka hazikusanywi kama mapato ya Taifa! Tunao uwezo wa kuendesha aina yoyote ya Muungano!
 
Mungu amsamehe kwanza huyo kipofu ndipo aje kwangu.
Una mtetea kwa kuwa anashabikia ccm eeeh!
Yeye kama mwakilishi wa walemavu hakutakiwa kufanya yale anayoyafanya.
Usilitaje bure jina la Mungu wako
 
Muundo wowote wa serikali unaweza sababisha muungano kuvunjika!!

ZZK 😃😀
 
Huyu wa Lindi si mnafki anawakilisha wapiga kura wa Lindi waliomchaguwa na anajulikana yeye ni cuf.

mnafki ni huyo kipofu ambaye anatakiwa awakilishe vipofu wenzanke badala yake na anajiunga kukata mauno kwenye mdundiko wa ccm, haya ndiyo aliyotumwa na vipofu wenzanke?

sema wewe mkuu!
Mimi nikisema wanamwomba inakuwa nongwa.
 
Zitto anasema kuwa ikiwa muungano utavunjika, gharama za kuzilinda nchi zake ni kubwa zaidi kuliko gharama za mfumo wa serikali tatu
 
98.1 Sijajua vizuri ni redio gani, lakini mimi ndo naitumia, juzi, jana hata sasa nasikiliza muda wote.
 
Zitto: Muungano ukivunjika, gharama za serikali mbili kujiendesha kila moja ni kubwa zaidi. Kila nchi itakuwa na mzigo mkubwa!
 
Back
Top Bottom