Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Majority rule and minority right watu sijui kama wanajua
Fedha zote za walala hoi zilizotumika wala hazionewi huruma
 
Wahuni wameachiwa uhuni wao.laana itawatafuna daima milele, ccm laana hii itawafuata na familia zao
hongereni ukawa daima.
 
Mvuto wa bunge wooote umeondoka.....na mimi najitoa rasmi kufuatilia bunge hili maalum....sioni jipya la kujifunza.....
 
Mungu awabariki sana UKAWA! CCM wametumia mabilioni kwenye tume ya warioba kukusanya maoni, halafu wanayakataa! Huu ni zaidi ya ufisadi!
 
Bungeni wamebaki ma bogus tuu yanakataa rasimu iliyoletwa na rais
 
Kuondoka c suluhisho unaonekana unakimbia majukumu,mm binafsi naona kushindwa kueleza hoja na inawezekana kuwa wameona hata wale wajumbe 201 hawajashawishika na hoja mbona tunaweka rehani mambo ya msingi hawa jamaa wanatuonyesha nn hasa kwenye mambo kama haya ivi mfano nchi tukiamua kuwapa alafu akatokea upinzani ukawa na hoja za msingi wanaweza kukimbia ikulu
 
Nyambali anapendekeza tuongeze kipengele kwenye katiba ambacho kitazungumzia zaidi kuhusu serikali za mitaa.
 
Sidhani kama ni ukawa peke yao ndio wametoka ninaamini hata baadhi ya kundi la 210.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hawa jamaa wanatupotosha sana,kodi zetu zinaumia.Nafikiri wanapaswa kupigwa bakora.
 
Back
Top Bottom