Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mtakutana na nguvu ya umma kupinga hiyo katiba yenu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Well said kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakutana na nguvu ya umma kupinga hiyo katiba yenu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mbona sasa cdm mmekua cuf ya Tanganyika! Sio tume huru ya uchaguzi inayofanya mnashindwa uchaguzi, ila hamjakubalika wala kuaminika na wapiga kura. Kila wakati mnakua na mkakati wa ovyo. Hivi kuvunja jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kuweka serikali legelege ya muungano na kumtukana muasisi wa taifa ndio itawaongezea wafuasi nchini?Wadau,
kitendo cha UKAWA KUJITOA ktk majadiliano ya Katiba ya kuhalalisha ufidhuli wa Interahamwe - ccm na kundi Lao la 201 ni jambo la kishujaa sana na kinaungwa mkono na kitaungw mkono na umma WOTE.
kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.
tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.
nawasilisha.
Watu kama hawa utawapa elimu gani ili waiongoze Tanganyika?....Useless!
CCM group is simply an having completely expired consciousness...
Leo kimetokea kituko baada ya wale wanafiki wenye lengo baya na Tanzania kutoka nje baada ya kuonyeshwa mkataba wa muungano.
Wanafiki hao walipigwa na butwaa baada ya kuona mkataba huo live bila chenga. Ndipo walipoona wamefilisika kwa hoja na kukimbia.
Mbulumundu wote ndo watakao s 3 paspo kuwa na hoja za msing
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Naomba tufanye sala :_ Eee MUNGU mtakatifu uketiye mahali pajuu palipoinuka MUNGU mwenye nguvu MUNGU mwenye enzi yote MUNGU uliyeumba mbingu na nchi MUNGU unayayestahili kuabudiwa na kurukuzwa hakuna MUNGU kama wewe jina lako litukuzwe..... Angalia unafiki na uongo wa hawa wajumbe waliopewa jukumu la kuandaa na kuitayarisha katiba kwa ajili ya taifa letu la Tanganyika na Visiwa vya Zanzibar na Pemba....MUNGU unayewajua wanafiki , waongo , wanaofuata mkumbo bila kutumia akili zao , wenye akili za kuambiwa na wenye mawazo ya kula posho tu..... MUNGU pambana na wote wanaokwenda kinyume na matakwa ya Watanganyika na Wazanzibari duaa inaendlelea
Hii katiba ni kama kupoteza muda kwani raisi alijua fika kwamba katiba hii haitatungwa ila alifanya hivi kwa makusudi ili afute lawama na kujisafisha ili iionekane kama alikaribu kumbe ni KUTUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA
Kichaa n kichaa tu hata umvishe suti ataivua na kubaki mtupu,ndo kitu unachokionesha hapa,umeshindwa jibu hoja povu limekutoka,ukitaja mawakala wa shetani uspomtaja Tundu lissu naww utakuwa agent wa Shetani pia....kama posho wamechukua za mpaka tr 31 kwann wasingelitoka jana,?kwann iwe leo huo ubaguz umeanza leo????mungu kukunyima akili za darasan hakumaanisha hata maish ufail pia huo n udhembe wako bnafs hata ustafe mchaw,
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Endelea kuangalia tom & jerry
Kusema cha ukweli wabunge wa zenji CCM wamejidhalilisha sana