Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Wadau,
kitendo cha UKAWA KUJITOA ktk majadiliano ya Katiba ya kuhalalisha ufidhuli wa Interahamwe - ccm na kundi Lao la 201 ni jambo la kishujaa sana na kinaungwa mkono na kitaungw mkono na umma WOTE.

kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.

tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.

nawasilisha.
Mbona sasa cdm mmekua cuf ya Tanganyika! Sio tume huru ya uchaguzi inayofanya mnashindwa uchaguzi, ila hamjakubalika wala kuaminika na wapiga kura. Kila wakati mnakua na mkakati wa ovyo. Hivi kuvunja jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kuweka serikali legelege ya muungano na kumtukana muasisi wa taifa ndio itawaongezea wafuasi nchini?
 
Hawa jamaa hawana jipya kabisa ni bora waache siasa kabisa wanakera sana.
 
Wanajifanya kutoka bungeni huku wakiendelea kupokea POSHO kama kawaida! hawa UKAWA wanafiki sana.
 
Hii katiba ni kama kupoteza muda kwani raisi alijua fika kwamba katiba hii haitatungwa ila alifanya hivi kwa makusudi ili afute lawama na kujisafisha ili iionekane kama alikaribu kumbe ni KUTUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA
 
Lukuvi alipo hubiri s2 kanisani ni kosa kubwa ambalo halivumiliki je cuf leo hii wakienda hubiri jambo fulani msikitini au kanisani itakuwaje tuaache kupandikiza mbegu ya kidini, na kikabila. Au tuseme cuf wakienda sehemu fulani au kutumia nasaba yao kupigia kampeni au upatu kitu fulani itakuwa sawa?
Mpanju nae ajue anawakilisha walemavu na sio ccm hata kama yeye ana mapenzi ya ccm,lakinikofiaaliyovaahapobungeni ni yawalemavu.kwani wapo walemavu wengine cuf, cdm updp n.k
Aliye wakilisha vikundi vya dini wa Anglikan naona ilikuwa kosa kwa serikali kuviweka vikundi vya namna hii maana vitazalishaubaguzi wa kidini, unapoongea as a block kwamba sisi Anglikana tunata s2 au s3sio sawa na hasa hasa hofu hiyo inapo husishwa na growth of islam or christianity to be undermined in znz au sehemu yoyote ya jamuhuri sio sawa
 
Leo kimetokea kituko baada ya wale wanafiki wenye lengo baya na Tanzania kutoka nje baada ya kuonyeshwa mkataba wa muungano.

Wanafiki hao walipigwa na butwaa baada ya kuona mkataba huo live bila chenga. Ndipo walipoona wamefilisika kwa hoja na kukimbia.

Naona kama unaandika bila kufuatilia nini kinaendela bungeni ....umemsikiliza Lissu kuhusu huo makataba mpya uliotolewa na saini ya hayati Karume?
 
Huyu Jamaa anaongea sasa hivi ni ndugu yake Nchemba nini ..
anaongea kana yeye .
 
Nilimsikia huyo mjumbe toka Zenji akikiri kuwa Zenji haijiwezi kiuchumi. Kweli alinishangaza kwa mtu mzima kutoka mapovu akijivunia kulishwa bure na Tanganyika. Badala ya kuona aibu yeye anajisifia na anataka mambo yaendelee hivyo hivyo. Huo ni uvivu wa kufikiri uliopita mipaka. Kama visiwa vidogo kama Comoro, Seychelles, nk. vinajiendesha kwa nini Zenji washindwe?
 
Naomba tufanye sala :_ Eee MUNGU mtakatifu uketiye mahali pajuu palipoinuka MUNGU mwenye nguvu MUNGU mwenye enzi yote MUNGU uliyeumba mbingu na nchi MUNGU unayayestahili kuabudiwa na kurukuzwa hakuna MUNGU kama wewe jina lako litukuzwe..... Angalia unafiki na uongo wa hawa wajumbe waliopewa jukumu la kuandaa na kuitayarisha katiba kwa ajili ya taifa letu la Tanganyika na Visiwa vya Zanzibar na Pemba....MUNGU unayewajua wanafiki , waongo , wanaofuata mkumbo bila kutumia akili zao , wenye akili za kuambiwa na wenye mawazo ya kula posho tu..... MUNGU pambana na wote wanaokwenda kinyume na matakwa ya Watanganyika na Wazanzibari duaa inaendlelea

Ni kweli mkuu, kitendo cha amirijeshi kusema jeshi litachukuwa nchi kama katiba itaamua muundo wa serikali tatu na kwakuwa Lukuvi amem-second mkulu, katika ulimwengu wa roho ni kwamba ibilisi amepewa kibali na kawaida yake huwa hachelewi, ameshaanza maandalizi....bahati mbaya mabaya yakitokea kwa sababu ya upofu wa wanasiasa wanaoumia ni innocent citizens.

Kwahiyo ni wakati muafaka kuunganisha nguvu ili kubatilisha mipango ya ibilisi kabla hayajafikia hypnotic rhythm. Kiranga et al kuja huku kabla hatujachelewa
 
Last edited by a moderator:
Hii katiba ni kama kupoteza muda kwani raisi alijua fika kwamba katiba hii haitatungwa ila alifanya hivi kwa makusudi ili afute lawama na kujisafisha ili iionekane kama alikaribu kumbe ni KUTUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA

kikwete ni msanii hakuwa na mpango na katiba mpya!
 
Kichaa n kichaa tu hata umvishe suti ataivua na kubaki mtupu,ndo kitu unachokionesha hapa,umeshindwa jibu hoja povu limekutoka,ukitaja mawakala wa shetani uspomtaja Tundu lissu naww utakuwa agent wa Shetani pia....kama posho wamechukua za mpaka tr 31 kwann wasingelitoka jana,?kwann iwe leo huo ubaguz umeanza leo????mungu kukunyima akili za darasan hakumaanisha hata maish ufail pia huo n udhembe wako bnafs hata ustafe mchaw,


Sent from my iPhone using JamiiForums.

urojo tu...unahemka bila hoja...toa akilini mwako na sio maneno ya mhuni wassira aliyemkimbia Nyerere na sasa anajisahau kuwa ndiye mtetezi..

wewe 'uzao wa interahamwe' = akili zenu wote zile zileeee! unatafuta tu 'nkononi-tumboni' yaani shibe ya siku! useless you!
 
Kusema cha ukweli wabunge wa zenji CCM wamejidhalilisha sana

..why do u think so?

..mimi nadhani wa-Tanganyika ndiyo tumejidhalilisha zaidi.

..wa-Zanzibari tayari wana serikali yao wale, wa-Tanganyika hatuna ya kwetu.

..sisi wa-Tanganyika ndiyo tulitakiwa tuwe kitu kimoja na kudai tupewe serikali yetu sawa na ile waliyonayo wa-Znz sasa hivi.

NB:

..wa-Znz wana maisha mazuri kuliko wa-Tgk walio wengi. wenzenu wanapata huduma za elimu na afya bure. sisi huku tunalipia na juu yake tunagharimia matumizi ya wa-Znz.

cc Matawana
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo hiyo hati ya Muungano ndo katiba mpya? Au kwa akili zako unazani ukishaonesha hiyo hati ndo umepata katiba? Au unazani hiyo hati ndo imekupa uhalali wa kupinga rasimu ya pili ya Katiba? Au kuambiwa ukweli ndo unafiki? Ulitaka wakae kimya ili iweje?
 
Back
Top Bottom