Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Aise nipo mkuu wangu japo wewe ni "mwana ccm" lakini unanikera jambo moja tu, unawasaliti ukoo wa panya kwa kuwasilisha fikra zako kwa uhuru namna hii. Au umetakrimiwa na UKAWA? Teh teh teh, mkuu fanya nilichokuagiza ila kwa tahadhari kubwa ukizingatia yaliyompata Horace Kolimba, Imran Kombe na wengineo.

Huu ukoo wetu wa Panya huwa nawapa ukweli haya mambo wanayoyatetea ni muda mfupi sana umebkia yanaisha na yatawageuka vibaya sana lkn kwa upofu uliojaa ndani ya huu ukoo wetu wa panya, wengi hatuoni wala hatutaki kusikia ila changes zinakuja kama mafuriko, haitazuilika
 
Wamechukua posho wakale sikukuu ya pasaka.

Walio toka nje ya bunge ni watu wenye uelewamara 1000000000 zaidi yako ,kwa vile una akili ndogo huweezi fikiri zaidi ,pole kibaraka wa wasio jitambua ccm.
 
Huwa naamini popote walipo CHADEMA, maendeleo kupatikana ni ngumu mno. CHADEMA wamekuwa mawakala wa shetani. Kupinga kila aina ya maendeleo dhidi ya watanzania, Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa kupata katiba mpya, lakini CHADEMA na washirika wake ndio wamekuwa vinara wa kukwamisha mchakato huu kwa kufanya kila aina ya vitimbi.
KAMA MMEONA KAZI YA UTUNZI WA KATIBA MPYA IKO NJE YA UWEZO WENU, RUDISHENI FEDHA ZA WATANZANIA MLIZOZIPOKEA KISHA RUDINI MAKWENU!
 
kikwete ni msanii hakuwa na mpango na katiba mpya!

msanii ni mbowe na genge lake mnao fanya siasa hata kwenye meza ya uandishi wa katiba. i mean full time politics is unprogressive and hopeless kwa maneno mengine kusimamisisha maisha ya watu wote na mambo mengine yote hadi siku akiwa kiongozi wa nchi , haa ni ujuha, upumbavu na ni upumbavu ulio wa hali ya juu kwa wafuasi kama wewe
 
Hawa Interahamwe wana laana. Bora muungano uvunjike kama kwa kufanya hivyo Tanganyika itarudi...
 
Mimi nilishahisi toka awali! Mbowe hawezi kuwa kiongozi wa UKAWA ilihali hata CHADEMA imemshinda. Sasa ule ushenzi waliokuwa wanaufanya CHADEMA bungeni wanauhamishia kwenye bunge la katiba, inaudhi sana. Tunakatwa kodi, halafu mijitu kama hii inalipwa, badala ya kufanya kilichowapeleka mnaanza kutafuta sifa za kitoto

Uwezo wa mbowe kifikra ni mara 1000000000 kulinganisha na wakwako,na wala huna hadhi hata ya kuwa mnyoosha nguo wa vijakazi wa mbowe.
 
in general hawa ccm wana maneno machafu sana. kwa nini wasingetumia lugha ya kueleweka tu kuliko kuwatukana wapinzani kwa matusi,mipasho na vijembe kila dakika? kuvumilia matusi haya sio rahisi kwa mtu mwenye akili timamu
 
Huna akili nmekwambia kufail darasan isiwe kigezo chako ww kufail na maisha pia,muda bdo upo komaa ujikomboe mende ww

Sent from my iPhone using JamiiForums.

buku saba...muda umefika nenda Lumumba kaunge foleni na magoti upate cha kulalia...useless mind! Toa hoja achana na urojo wa akili!
 
Hiv hawa maccmnani aliyewatuma wakajadili serikal mbili tofauti na maoni a wananchi kwa tume? Mona hawa ni wajinga kiasi hiki na wasaliti halafu wanasema wao ni waumini. Mungu hapendi ujjinga huo.
Hao wachungaji waliowacagua wanao tetea mawazo ya ccm ni wajasilimali tu na wachumia tumbo. Bt time will tell, tumechoka na ujinga wa ccm
 
Kamwe mungu hawatokei wala hawezi kuwa upande wa wenye hasira na wanafiki kama ukawa labla kwa mtindo wa mkate

Mungu yupo pamoja nao na atakuwa pamoja nao hadi mwisho wa dahari sababu ukawa wapo na wananchi na ccm wapo na matumbo yao yanayo taka kulazimisha mambo hata yasiyo lazimishika
 
in general hawa ccm wana maneno machafu sana. kwa nini wasingetumia lugha ya kueleweka tu kuliko kuwatukana wapinzani kwa matusi,mipasho na vijembe kila dakika? kuvumilia matusi haya sio rahisi kwa mtu mwenye akili timamu

Hoja ndiyo hatuna kaka, sasa inabidi umjadili mtu personaly.
Kama unavyojua ukimjadili mtu inabidi uanze na mipasho mwanzo mwisho
 
Uwezo wa mbowe kifikra ni mara 1000000000 kulinganisha na wakwako,na wala huna hadhi hata ya kuwa mnyoosha nguo wa vijakazi wa mbowe.
Wewe Msukule wake ndio unamuona hivyo, ila wenye timamu zetu tunamuona ni mhuni flani hivi.
 
Huwa naamini popote walipo CHADEMA, maendeleo kupatikana ni ngumu mno. CHADEMA wamekuwa mawakala wa shetani. Kupinga kila aina ya maendeleo dhidi ya watanzania, Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa kupata katiba mpya, lakini CHADEMA na washirika wake ndio wamekuwa vinara wa kukwamisha mchakato huu kwa kufanya kila aina ya vitimbi.
KAMA MMEONA KAZI YA UTUNZI WA KATIBA MPYA IKO NJE YA UWEZO WENU, RUDISHENI FEDHA ZA WATANZANIA MLIZOZIPOKEA KISHA RUDINI MAKWENU!

Wamejitoa sasa tungeni katiba ya ccm :::::.....
Miaka 50 ccm bado haijawaendeleza watanzania leo unasingizia chadema?
Bongolala!!!!!
 
Jamani sikuwa kwenye runinga naomba mnijulishe kwa ufasaa kwa nini UKAWA wametoka nje ya bunge

Tafadhali usiandike hisia zako nijuze tu kilichotokea

Kwa sababu interahamwe wameteka bunge la katiba.
 
Huu ukoo wetu wa Panya huwa nawapa ukweli haya mambo wanayoyatetea ni muda mfupi sana umebkia yanaisha na yatawageuka vibaya sana lkn kwa upofu uliojaa ndani ya huu ukoo wetu wa panya, wengi hatuoni wala hatutaki kusikia ila changes zinakuja kama mafuriko, haitazuilika

Teh teh teh, mi nakaa kimya.
 
..sasa bunge la katiba liendeshwe fasta-fasta.

..tena wapige kura ya wazi, watupatie rasimu kamili kabla ya bunge la bajeti.

Lakini kwa nini wachukue posho kwanza?Kama kugomea wangegomea tangu mwanzo....upinzani itakuwa vigumu kuaminiwa na watu.......kwani hiyo rasimu ni muundo wa muungano peke yake?hakuna mambo mengine ambayo ni muhimu kwa wananchi ambayo yanahitajika katika katiba mpya?i cant support bunch of foolery
 
Hoja za wana CCM zimekosa mashiko kwani wengi wamebakia kupiga DOMO bila kuwa na convincing documents za kuonyesha kupinga Serikali 3. Lissu amejitahidi kutumia douments nyingi ikiwamo kulinganisha contents za Katiba ya zanzibar na ya Muungano zinavyokinzana na hivyo kuwepo umuhimu wa katiba ya Tanganyika. Hilo CCM wakaziba masikio kama kawaida yao wakabkia kupiga domo. Bora waachane na vilaza wasiotaka kutumia akili bali hisia na ushabiki

CCM ni mkusanyiko wa akili zilizo dhoofu...ukisikiliza, kuanzia wa kwanza anayesimama hadi wa mwisho wote wanapiga 'redundancy' tu ya ideology na hakuna diversity ktk kufikiri kwao...

wahumi huku kama akina kiboko, katavi et al...nao wapo hapa JF mstari ule ule wa wafu wa akili, wanatetea yale yale tokea asubuhi mpaka jioni, ...ushauri ni kuwa wakawahi tu lumumba buku zao 7 tayari..! wasisahau kuwa akili zao zinazidi kuoza...
 
Back
Top Bottom