Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise nipo mkuu wangu japo wewe ni "mwana ccm" lakini unanikera jambo moja tu, unawasaliti ukoo wa panya kwa kuwasilisha fikra zako kwa uhuru namna hii. Au umetakrimiwa na UKAWA? Teh teh teh, mkuu fanya nilichokuagiza ila kwa tahadhari kubwa ukizingatia yaliyompata Horace Kolimba, Imran Kombe na wengineo.
Wamechukua posho wakale sikukuu ya pasaka.
kikwete ni msanii hakuwa na mpango na katiba mpya!
Mimi nilishahisi toka awali! Mbowe hawezi kuwa kiongozi wa UKAWA ilihali hata CHADEMA imemshinda. Sasa ule ushenzi waliokuwa wanaufanya CHADEMA bungeni wanauhamishia kwenye bunge la katiba, inaudhi sana. Tunakatwa kodi, halafu mijitu kama hii inalipwa, badala ya kufanya kilichowapeleka mnaanza kutafuta sifa za kitoto
Huna akili nmekwambia kufail darasan isiwe kigezo chako ww kufail na maisha pia,muda bdo upo komaa ujikomboe mende ww
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Kamwe mungu hawatokei wala hawezi kuwa upande wa wenye hasira na wanafiki kama ukawa labla kwa mtindo wa mkate
in general hawa ccm wana maneno machafu sana. kwa nini wasingetumia lugha ya kueleweka tu kuliko kuwatukana wapinzani kwa matusi,mipasho na vijembe kila dakika? kuvumilia matusi haya sio rahisi kwa mtu mwenye akili timamu
Wewe Msukule wake ndio unamuona hivyo, ila wenye timamu zetu tunamuona ni mhuni flani hivi.Uwezo wa mbowe kifikra ni mara 1000000000 kulinganisha na wakwako,na wala huna hadhi hata ya kuwa mnyoosha nguo wa vijakazi wa mbowe.
Huwa naamini popote walipo CHADEMA, maendeleo kupatikana ni ngumu mno. CHADEMA wamekuwa mawakala wa shetani. Kupinga kila aina ya maendeleo dhidi ya watanzania, Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa kupata katiba mpya, lakini CHADEMA na washirika wake ndio wamekuwa vinara wa kukwamisha mchakato huu kwa kufanya kila aina ya vitimbi.
KAMA MMEONA KAZI YA UTUNZI WA KATIBA MPYA IKO NJE YA UWEZO WENU, RUDISHENI FEDHA ZA WATANZANIA MLIZOZIPOKEA KISHA RUDINI MAKWENU!
Jamani sikuwa kwenye runinga naomba mnijulishe kwa ufasaa kwa nini UKAWA wametoka nje ya bunge
Tafadhali usiandike hisia zako nijuze tu kilichotokea
Huu ukoo wetu wa Panya huwa nawapa ukweli haya mambo wanayoyatetea ni muda mfupi sana umebkia yanaisha na yatawageuka vibaya sana lkn kwa upofu uliojaa ndani ya huu ukoo wetu wa panya, wengi hatuoni wala hatutaki kusikia ila changes zinakuja kama mafuriko, haitazuilika
Hao kweli ni maajenti wa shetani!
Tutawapuuza tu!
..sasa bunge la katiba liendeshwe fasta-fasta.
..tena wapige kura ya wazi, watupatie rasimu kamili kabla ya bunge la bajeti.
Hoja za wana CCM zimekosa mashiko kwani wengi wamebakia kupiga DOMO bila kuwa na convincing documents za kuonyesha kupinga Serikali 3. Lissu amejitahidi kutumia douments nyingi ikiwamo kulinganisha contents za Katiba ya zanzibar na ya Muungano zinavyokinzana na hivyo kuwepo umuhimu wa katiba ya Tanganyika. Hilo CCM wakaziba masikio kama kawaida yao wakabkia kupiga domo. Bora waachane na vilaza wasiotaka kutumia akili bali hisia na ushabiki