Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Tangu wametoka bunge limekuwa na nidhamu ya hali ya juu kumbe chadema na cuf ndiyo tatizo wakafie mbali kabisa tumechoka na vurugu zao.

mjidanganye tu ,lazima kieleweke na mamluki mtakubali tu muziki wa ukawa
 
wakuuu Ebu Tudadafue Hili? KwaniniSala ya Dua mjengoni ni Kikristu imepuuza Waislamu na Imani zingine?

Tujadili Kwa Kina Wakuuu.... Bila Kuleta Udini. Najua ni Mada Sensitive.
 
Kama Rais wa Muungano atatoka CCM bara na Rais wa Zenj na makamu wa kwanza wa Rais atatoka CUF bado huo muungano wa serikali 2 utakuwepo ?
 
IMG-20140416-WA0007.jpg
Kwamujibu wa UKAWA wanasema wamejitoa ili kuwachia ccm wapitishe Katiba yao ya ccm kwa kuizarau ile katiba ya Wananchi ilio wakilichwa na Jaji Warioba ambayo imejengeka kwa mfumo wa Serekali tatu na kufuata taratibu zote za kisheria.
Sababu Nyengine ni kulinusuru taifa kwa vitisho vya viongozi wa kuu kwa kutoa kauli za vitisho zidi ya wananchi kua pindipo zikipita Serekali Tatu basi Jeshi litachukua nchi.
 
kama kuna MUNGU wa kikristu na kiislamu basi upo sawa!!
 
Wenyewe wanajiita mawakala wa Mungu, huyu sokwe amechanganyikiwa kwakweli arudishwe tu msituni
 
Waheshimiwa wa-Tanzania, yeyote mwenye clip inayowaonyesha wabunge wapenda Tanzania, wanaotumia elimu zao kwa manufaa ya watanzania wakitoka nje ya Bunge naombeni tafadhali
 
Tangu wametoka bunge limekuwa na nidhamu ya hali ya juu kumbe chadema na cuf ndiyo tatizo wakafie mbali kabisa tumechoka na vurugu zao.

jamani tuseme ukweli tu ivi ni kweli ukawa walikuwa wanapiga kelele au walio wengi kuvuruga mchakato? Jamani binafsi baada ya kupitisha sheria mbovu ya kura ya wazi nilitamani waondoke wawaachie mchakato mzima ccm ili wapinzani tusiwahukumu baadae kwa kupitisha katiba mbovu ya kichama.

Leo nimefurahi sana maana ccm walikuwa wanapata nguvu ya kupangua hoja ukawa wakiwa bungeni ili kupotosha umma sasa wanabaki peke yao ngoja tuone je? Watatokea ukawa wengine toka kwenye mpasuko wa ccm ili kuleta changamoto au wote watabaki wanakosoa muundo wa muungano? Hongera sana ukawa hakika sauti zenu zitasikika dunia nzima.
 
Wanasheria mtusaidie.
Je, quorum itatimia kwa ma CCM kuendelea na Kijiwe chao ?
 
Wananchi wazalendo tunalaani sana huu uhuni wa UKAWA, kuchukua Posho na kutoka nje ya bunge maalum bila sababu za maana!
 
Back
Top Bottom