TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Tangu wametoka bunge limekuwa na nidhamu ya hali ya juu kumbe chadema na cuf ndiyo tatizo wakafie mbali kabisa tumechoka na vurugu zao.
Interahamwe bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu wametoka bunge limekuwa na nidhamu ya hali ya juu kumbe chadema na cuf ndiyo tatizo wakafie mbali kabisa tumechoka na vurugu zao.
Well walimaanisha nini mkuu,sijakusoma vizuri
Lakini kwa nini wachukue posho kwanza?Kama kugomea wangegomea tangu mwanzo....upinzani itakuwa vigumu kuaminiwa na watu.......kwani hiyo rasimu ni muundo wa muungano peke yake?hakuna mambo mengine ambayo ni muhimu kwa wananchi ambayo yanahitajika katika katiba mpya?i cant support bunch of foolery
Utawapuuza wewe unaye chumia tumbo lakini wananchi tunawasubiri kwa hamu.wananchi ni zaidi ya ccm yenu ya kihuni.
Wana jamvi kuna taarifa kuwa watetezi wa katiba ya wananchi(ukawa) watapita kila kaya nchini kote kupiga mikutano ya kukusanya nguvu za wananchi kudai katiba mpya yenye maoni ya wananchi kama walivyo ya toa mbele ya tume ya warioba,wajumbe wa ukawa wametoka kutokana na mwenendo mbaya wa bunge unao fanywa na wajumbe walio wengi wanao dharau maoni ya wananchi yaliyo tengeneza rasimu iliyo pendekeza mfumo wa serikali 3 ambayo inajadiliwa bungeni huku upande wa ccm wanataka serikali 2 ziendelee kinyume na maoni ya wananchi walio taka 3 gorvement
Nawashangaa wabunge wa ccm waliobaki ukumbini badala ya.kueleza ni jinsi gain watatatua kero za muungano. ktk serial I mbili bado wanawashambulia waliotoka ukumbini. He kweli wanna. ufumbuzi wa kero za muungano?
Mkuu mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Hawa UKAWA ni maagent wa Shetani kama ambavyo Wassira amesema.Wananchi wazalendo tunalaani sana huu uhuni wa UKAWA, kuchukua Posho na kutoka nje ya bunge maalum bila sababu za maana!
kwani wana faida gani na sisi watanzania hata wakimwagiwa ni sawatu mbona wao wanatutengenezea tindikali badala ya katiba??Ili waliobaki muwamwagie TINDIKALI???????
Jamani sikuwa kwenye runinga naomba mnijulishe kwa ufasaa kwa nini UKAWA wametoka nje ya bunge
Tafadhali usiandike hisia zako nijuze tu kilichotokea
Sasa ndiyo umeandika nini?ccm chama cha wahuni na washenzi wakubwa tumewaachia watunge katiba ya ccm wanayoitaka wanamuupuza warioba aliyezunguka nzima kupata maoni ya wananchi tunataka serikali wao wanataka serikali 2 kwa nguvu zao tumeamua kuwaachia
Sidhani kama ni busara mnachokifanya,kweli mmetuangusha sana, binafsi nimekua very disappointed yaani mmegeuza hapo kua kama big brother......kama hamtaki kushiriki rudisheni hiyo pesa ni kodi zetu na kwa taarifa yenu mwaka 2015 CCM inashika dola tena na mtasubiri sana hakuna serikali 3, hizo taama zenu za madaraka achaneni nazo mkafanye shughuli zingine za maendeleo kwani lazima mshike dola ? RUDISHENI POSHO