Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Posho vipi wanarudisha au wanapiga kimya! Wengine tulisema toka mwanzo hakuna jipya hawa jamaa wataongeza katika rasimu, wanazo ajenda zao na waliofata mkumbo ndio watajua na msiwabembeleze kesho wateuliwe watu wengine wakapige ndondo.
 
Well walimaanisha nini mkuu,sijakusoma vizuri

Kweli ccm ni itarahamwe, data za tume wamezikataa, maoni ya wananchi wameyakataa, sasa ni nani hao? Walisema hawataki katiba mpya sasa mpango wao ndo huo
 
Lakini kwa nini wachukue posho kwanza?Kama kugomea wangegomea tangu mwanzo....upinzani itakuwa vigumu kuaminiwa na watu.......kwani hiyo rasimu ni muundo wa muungano peke yake?hakuna mambo mengine ambayo ni muhimu kwa wananchi ambayo yanahitajika katika katiba mpya?i cant support bunch of foolery

Naona ccm wanataka kusimamia hoja ya posho, Binafsi naona hoja ya kipuuzi sana hii.
Kwani watu tumeona toka mwanzo ubabe wa ccm.
 
Kwakuwa walikubali kushiriki mwanzo bora wangeendelea mpaka mwisho tu ili tuendelee kuwajua vizuri watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza ...
 
Utawapuuza wewe unaye chumia tumbo lakini wananchi tunawasubiri kwa hamu.wananchi ni zaidi ya ccm yenu ya kihuni.

Sema wapenda vurugu, usijumuishe wananchi wote.....Wananchi hatutaki vurugu.
 
tusiunge mkono kila kitu,upuuzi waliofanya ukawa ni wakitoto,wamejidhalilisha na kuonekana kama umoja wa wahuni,mbinu za kitoto na hasira hata sikumija hazileti mageuzi,
Je wanamageuz wa zamani walifanya upumbav kama hu?
R,I,P UKAWA na serikali 3 ni zaidi ya ndoto,bora mngekomaa mulemule ndani mngeeleweka kimtindo,na kama mnategemea wananchi wawasaport mmepoteza maboya kwishaaa...
 
Wana jamvi kuna taarifa kuwa watetezi wa katiba ya wananchi(ukawa) watapita kila kaya nchini kote kupiga mikutano ya kukusanya nguvu za wananchi kudai katiba mpya yenye maoni ya wananchi kama walivyo ya toa mbele ya tume ya warioba,wajumbe wa ukawa wametoka kutokana na mwenendo mbaya wa bunge unao fanywa na wajumbe walio wengi wanao dharau maoni ya wananchi yaliyo tengeneza rasimu iliyo pendekeza mfumo wa serikali 3 ambayo inajadiliwa bungeni huku upande wa ccm wanataka serikali 2 ziendelee kinyume na maoni ya wananchi walio taka 3 gorvement

Waje TUWAKONG'OLI!
HAKATWI MTU HAPAAA!
 
Nawashangaa wabunge wa ccm waliobaki ukumbini badala ya.kueleza ni jinsi gain watatatua kero za muungano. ktk serial I mbili bado wanawashambulia waliotoka ukumbini. He kweli wanna. ufumbuzi wa kero za muungano?

Ndiyo wanaokuandalia mustakabali ya maisha yako hao.Akina Uhuru Kenyatta,Yoweri Museveni na Paul Kagame waliona upunguani wa hawa vichwa maji wa serikali ya CCM ndiyo maana wamewatenga.
 
ccm chama cha wahuni na washenzi wakubwa tumewaachia watunge katiba ya ccm wanayoitaka wanamuupuza warioba aliyezunguka nzima kupata maoni ya wananchi tunataka serikali tatu wao wanataka serikali 2 kwa nguvu zao tumeamua kuwaachia
 
Wananchi wazalendo tunalaani sana huu uhuni wa UKAWA, kuchukua Posho na kutoka nje ya bunge maalum bila sababu za maana!
Mkuu mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Hawa UKAWA ni maagent wa Shetani kama ambavyo Wassira amesema.
 
Anae tetea ccmhana akili, miaka 50 sasa bado hata wewe unayeteea labda umelala njaa, hujaenda shule, huna ajira. Halafu unatetea? Haaa.amkeni watanzaia.
Bado mnag'ng'ania muungano wa serikali 2... kwa faida gani.
 
Hamna lolote!
Ukiwaunga mkono Ukawa lazima ujitoe akili kwanza!
Watanzania tutawapuuza!
 
Jamani sikuwa kwenye runinga naomba mnijulishe kwa ufasaa kwa nini UKAWA wametoka nje ya bunge

Tafadhali usiandike hisia zako nijuze tu kilichotokea

Taifa hili linahitaji kuombewa. Matusi, ubaguzi, kejeli, uzushi na jeuri ya makada ya wajumbe walio wengi (hasa kutoka CCM) imesababisha UKAWA kutoka nje ya kikao cha bunge maalumu leo hii wakati wa kipindi cha jioni. Wajumbe walio wengi wanaongea as if katiba itakayopendekezwa tayari yanayo mikononi. Hii sio sahihi hata kidogo. Watu walitakiwa kujadili kwa hoja na kuheshima, mwisho wa siku kama ni serikali tatu au mbili wangekubaliana kwa njia ya kidemokrasia kwa kupiga kura kama sheria na kanuni zinavyoagiza. It is very unfortunate kwa kweli mchakato ya katiba mpya umeingia doa kabisa. Ushauri wangu kwa Mhe. Raisi Jakaya Kikwete ni kuwasihi UKAWA warejea kwenye mchakato kama kawaida lakini vilevile lazima awaonye wajumbe walio wengi kujikita zaidi kwenye hoja kuliko mipasho, matuzi, kashifa na ubaguzi wanaoendelea kujitokeza pale ndani ya bunge maalumu. In short hili bunge imekuwa ni aibu ya mwaka na wala halisitahili kuitwa bunge la kutunga katiba ya watanzania.
 
Wana jamvi kunasiku mh lema alitangaza kuondoka dodoma kutokana na hali ya mchakato alivyo kuwa ame uona kwakua maoni ya wananchi yana chakachuliwa mbele ya bunge,nami niliunga mkono urudi jimboni ukajenge chama na kutatua kero za wananchi arusha
 
ccm chama cha wahuni na washenzi wakubwa tumewaachia watunge katiba ya ccm wanayoitaka wanamuupuza warioba aliyezunguka nzima kupata maoni ya wananchi tunataka serikali wao wanataka serikali 2 kwa nguvu zao tumeamua kuwaachia
Sasa ndiyo umeandika nini?
 
kwani idadi ya serikali pekee ndio rasimu . Mbona michango yao ni muhimu tu kwa rasimu kiujumla! Hakukua na haja ya kususa.
 
Sidhani kama ni busara mnachokifanya,kweli mmetuangusha sana, binafsi nimekua very disappointed yaani mmegeuza hapo kua kama big brother......kama hamtaki kushiriki rudisheni hiyo pesa ni kodi zetu na kwa taarifa yenu mwaka 2015 CCM inashika dola tena na mtasubiri sana hakuna serikali 3, hizo taama zenu za madaraka achaneni nazo mkafanye shughuli zingine za maendeleo kwani lazima mshike dola ? RUDISHENI POSHO

Kama hoja ni kushika madaraka na tamaa kama unavyosema nani mwenye tamaa sasa kati ya wapinzani na ccm? Kama ccm hawana tamaa kwa nini wanavuruga maoni ya wananchi? Wanaogopa nini? Ukawa hongereni sana màana ccm walitaka waje waseme na nyie mlishiriki kupitisha katiba mbovu.imewauma sana ccm
 
Back
Top Bottom