Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Asante mkuu
Nashukuru mkuu.unajua kwenye huu mchakato wa katiba, interest za kisiasa huwezi kuziepuka. Mkuu, kwa nini hujajiuliza waliolalamoka kuwa muda wa warioba hautoshi ni Lissu, Mtatiro na Zitto. Hao wote unajua wanatoka chama gani. Pia umesikiliza majibu ya Sitta. Pia najua unafahamu anatoka chama gani. Kwa hiyo hapo ni SISI vs WAO
 
Idadi kubwa ya wabunge walioenda Kalenga siwaoni humu mjengoni
 
Nashukuru mkuu.unajua kwenye huu mchakato wa katiba, interest za kisiasa huwezi kuziepuka. Mkuu, kwa nini hujajiuliza waliolalamoka kuwa muda wa warioba hautoshi ni Lissu, Mtatiro na Zitto. Hao wote unajua wanatoka chama gani. Pia umesikiliza majibu ya Sitta. Pia najua unafahamu anatoka chama gani. Kwa hiyo hapo ni SISI vs WAO

Ndiyo maana kwa kuheshimu uzi huu nimeamua kua mpole kuepuka kuharibu mtiririko wa updates
 
Warioba na hao wataalamu wengine hata watoe hoja zenye mshiko vipi hazina manufaa yeyote maana watu wameziba pamba masikion mwao na wanamisimamo na maamuzi yao. hizo hotuba zitatunufaisha zaidi sisi wa nje
 
Chabruma naomba uendelee na updates ila kwa sasa kinachoendelea ni viapo kwa wajumbe
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanaoitwa wataalam na kupewa mda mwingi ni njia tu ya kulainisha muundo wa serekali mbili upate nguvu ndani na nje ya bunge hili
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii imetulia sana. Na awali ya yote salam nyingi kwa wadau wakuu wote wa jf wakiongozwa na wakuu Chabruma na Skype popote pale mlipo tupo pamoja sana; ila kwa bahati mbaya ama nzuri nipo katikati ya soko la kariakoo nkisaka tonge hvyo nasikitika sana sitaweza kwenda sambamba nanyi live ila nitakuwa nachungulia kuona nini wadau wanaripoti kwa wananchi wote wa jf!

Mungu nanyi daima!
Ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Chabruma naomba uendelee na updates ila kwa sasa kinachoendelea ni viapo kwa wajumbe
Ahsante Mkuu. Kama kutakuwa na jambo lolote nje ya viapo nitatupia humu. Vinginevyo tuonane saa 11 jioni
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii imetulia sana. Na awali ya yote salam nyingi kwa wadau wakuu wote wa jf wakiongozwa na wakuu Chabruma na Skype popote pale mlipo tupo pamoja sana; ila kwa bahati mbaya ama nzuri nipo katikati ya soko la kariakoo nkisaka tonge hvyo nasikitika sana sitaweza kwenda sambamba nanyi live ila nitakuwa nachungulia kuona nini wadau wanaripoti kwa wananchi wote wa jf!

Mungu nanyi daima!
Ahsanteni sana!
Pamoja sana Mkuu. Tunakuwakilisha vema.
 
OMBI MAALUM:

1. Chabruma afanye updates palepale kwenye uzi wake km Yericko Nyerere anavyofanyaga; hii itatusaidia tulio mbali na tv kupata urahisi wa kuchungulia badala ya kutambaa na thread nzima, ama

2. Mods unganisheni zile comments muhimu pale kwenye topic ya Chabruma

Ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mambo mengi wakati muda hautoshi? Sidhani kama kazi zote hizo zitakwisha maaana wabunge wanapenda sana kupumzika badala ya kufanya kazi.
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii imetulia sana. Na awali ya yote salam nyingi kwa wadau wakuu wote wa jf wakiongozwa na wakuu Chabruma na Skype popote pale mlipo tupo pamoja sana; ila kwa bahati mbaya ama nzuri nipo katikati ya soko la kariakoo nkisaka tonge hvyo nasikitika sana sitaweza kwenda sambamba nanyi live ila nitakuwa nachungulia kuona nini wadau wanaripoti kwa wananchi wote wa jf!

Mungu nanyi daima!
Ahsanteni sana!

Mkuu, tuko pamoja sana ila kwa leo nitamwachia mkuu Chabruma na wengine watuwakilishe kwa kua siko tayari kuharibu updates kwa hisia zangu. Naamini kila kitu kitakwenda vema. Tuwemo.
 
Last edited by a moderator:
OMBI MAALUM:

1. Chabruma afanye updates palepale kwenye uzi wake km Yericko Nyerere anavyofanyaga; hii itatusaidia tulio mbali na tv kupata urahisi wa kuchungulia badala ya kutambaa na thread nzima, ama

2. Mods unganisheni zile comments muhimu pale kwenye topic ya Chabruma

Ahsanteni sana!
Naona mods wamekusikiliza. Ahsante sana kwa kuliona hilo na tuwashukuru mods kwa kuwa pamoja nasi daima
 
Back
Top Bottom