Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa mkuuList ipo kwa uongozi wa bunge, ni vigumu kwa mtu wa kawaida kufahamu unless uombe upewe majina ya walio bado kuapishwa...........lakini sio wengi sana; sana sana wale walioenda jana uchaguzini kalenga wale ambao hawajaapishwa tu!
Usiumize kichwa ndg yangu!
Naomba kuweka hisia zangu wazi kuwa mchakato wa kupata katiba mpya inayotokana na maoni ya wananchi umevurugika hasa baada ya mambo ya uvyama kutawala mchakato mzima mpaka sasa.
hapo umenena mkuu
Seen by nitonye on Monday 17th,March 2014
Hivi hili jina Tanzania bara ni kitu gani? ni nchi au ni muunganiko wa Tanganyika bara na Zanzibar bara?
Hili bunge haliwezi kufika huko linawatu wenye akili zao na uwezo wa kutafakali mambo kabla hayajawa mabaya.Umeona ee? Na kwa mtiririko huu wa matukio ya uvyama bunge movie nashawishika kusema kua wana bunge movie watashikana mashati muda si mrefu.
Hili bunge haliwezi kufika huko linawatu wenye akili zao na uwezo wa kutafakali mambo kabla hayajawa mabaya.
Kwanini Warioba ahutubie kabla ya Bunge kuzinduliwa na Rais? Alafu kazi yote ile ya tume alafu wanapewa masaa mawili tu?
Kwa jinsi Mtiririko wa Matukio ulivyo,Najuta kwa nini nilizaliwa nikajikuta napenda kufatilia masuala ya Siasa,Bora ningekua Mfatiliaji hata wa Mieleka Nikaepukana na Pressure hizi,Maana napoona Watu wachache wanajaribu kupindisha Maoni ya Walio Wengi kwa Maslahi yao Binafsi, Moyo Wangu unajaa Mithili ya Kuripuka,Eee Mungu nisaidie.
Tutasikia Mengi leo,Warioba hana lawama yeye ni mjumbe wa watanzania,ila CCM ndo wabebe lawama juu ya chochote Kibaya