Nashukuru mkuu.unajua kwenye huu mchakato wa katiba, interest za kisiasa huwezi kuziepuka. Mkuu, kwa nini hujajiuliza waliolalamoka kuwa muda wa warioba hautoshi ni Lissu, Mtatiro na Zitto. Hao wote unajua wanatoka chama gani. Pia umesikiliza majibu ya Sitta. Pia najua unafahamu anatoka chama gani. Kwa hiyo hapo ni SISI vs WAOAsante mkuu
Nashukuru mkuu.unajua kwenye huu mchakato wa katiba, interest za kisiasa huwezi kuziepuka. Mkuu, kwa nini hujajiuliza waliolalamoka kuwa muda wa warioba hautoshi ni Lissu, Mtatiro na Zitto. Hao wote unajua wanatoka chama gani. Pia umesikiliza majibu ya Sitta. Pia najua unafahamu anatoka chama gani. Kwa hiyo hapo ni SISI vs WAO
Pamoja sana Mkuu. Tunakuwakilisha vema.Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii imetulia sana. Na awali ya yote salam nyingi kwa wadau wakuu wote wa jf wakiongozwa na wakuu Chabruma na Skype popote pale mlipo tupo pamoja sana; ila kwa bahati mbaya ama nzuri nipo katikati ya soko la kariakoo nkisaka tonge hvyo nasikitika sana sitaweza kwenda sambamba nanyi live ila nitakuwa nachungulia kuona nini wadau wanaripoti kwa wananchi wote wa jf!
Mungu nanyi daima!
Ahsanteni sana!
Wataalamu toka Tanganyika hawatokuwepo?
Hapa ndipo pamenipa ugumu wa kuendelea kuchangia mjadala huu baada ya majibu ya Sitta
Ni kweli mkuu. Ila hayo ndo majibu ya Mwenyekiti Mkuu
Kwa kutusaidia tusio na tv live naomba mtujuze sitta kajibu nini! Natanguliza shukrani zetu!
Ahsante Mkuu. Kama kutakuwa na jambo lolote nje ya viapo nitatupia humu. Vinginevyo tuonane saa 11 jioni
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii imetulia sana. Na awali ya yote salam nyingi kwa wadau wakuu wote wa jf wakiongozwa na wakuu Chabruma na Skype popote pale mlipo tupo pamoja sana; ila kwa bahati mbaya ama nzuri nipo katikati ya soko la kariakoo nkisaka tonge hvyo nasikitika sana sitaweza kwenda sambamba nanyi live ila nitakuwa nachungulia kuona nini wadau wanaripoti kwa wananchi wote wa jf!
Mungu nanyi daima!
Ahsanteni sana!
Naona mods wamekusikiliza. Ahsante sana kwa kuliona hilo na tuwashukuru mods kwa kuwa pamoja nasi daimaOMBI MAALUM:
1. Chabruma afanye updates palepale kwenye uzi wake km Yericko Nyerere anavyofanyaga; hii itatusaidia tulio mbali na tv kupata urahisi wa kuchungulia badala ya kutambaa na thread nzima, ama
2. Mods unganisheni zile comments muhimu pale kwenye topic ya Chabruma
Ahsanteni sana!
Nimepaona mkuu. Mods wamerekebisha