Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Nimeona hii hali imeniuma sana, na mongeza sana warioba kwa uajsili wake mkubwa, kasikia sauti ya wengi akaka chini.
 
Hii ni kali sasa na cjui tunaenda wapi laki tatu zinaliwa buree tuu bora tusitishe hili la katiba maana hatukuwa tumejiandaa kisaikolojia na suala hili
Ukisema laki tatu zinaonekana ndogo..., sema kabisa hizo laki tatu mara idadi ya wajumbe wote
 
Tukiwa shule walimu walitumia adhabu ya viboko kudhibiti kelele na fujo darasani sasa kwa kuwa wabunge wa bunge la katiba wamekosa nidhamu kabisa bila shaka adhabu ya viboko inawafaa sana kwani hawamuheshimu kiongozi wa bunge hilo.

kama hujui jambo kaa kimya.
 
mzee warioba anaonekana asiye na furaha kabisa...Wabunge wote wa upinzani wamesimama na kuanza kushangilia SITTA alipomkaribisha mzee WARIOBA awasilishe!
 
Punde nimefungua TBC Tv channel nilichokishuhudia ni wajumbe kumshangilia jaji Warioba mfululizo kwa kugonga meza bira kikomo mpaka speaker akaamua kuvuja kikao. nini kilitokea?// naomba mnijuze wana jamvi


Nimeona Jaji Warioba ametolewa nje chini ya escort ya mgambo wa bunge lakini ameoneka amesononeka sana kwani inaonekana hotuba yake imekataliwa sijajua waliompinga ni kundi gani????
 
Hebu tuambieni ni kwa nini wabunge wamekataa kumsikiliza warioba?bado tupo maaofisini wenzenu
 
Ndivyo alivyo fanyiwa, baadhi ya wabunge wakiongozwa na Mtikila wamesimama na kuanza kupiga meza huku wakionesha hali ya kutokukubali Jaji Sinde hasisome rasimu bungeni.

We bata naona unajoifunza kuogelea kwenye bwawa la kiswahili
 
Kwani huyo anaetakiwa kuja kuzindua bunge la katiba yukowapi? Analipa umuhimu gani hili jambo mpaka ashindwe kuliweka kwenye vipao mbele vyake vya ratiba? Je inawezekanaje kuwakilisha katiba kwenye bunge ambalo halijazinduliwa?
Ni kweli mtu huyu alieweza kutoa msafara toka Uswis na kukatiza ziara kuja kumzika Bwanamdogo marehemu mbungei kumuandalia njia nzuri mwanae tena ikijua akizika tu anarudi Adis kwenye mkutano haoni kama ipo haja kuzindua bunge? Haoni kama hili ni muhimu kuliko lala salama bwana mdogo umuachie mwanangu jimbo?
Ni ubinafsi, mtindio wa fikra, kupuuzia au ni nini?

Najiuliza aina ya mtawala tulienae.
 
Punde nimefungua TBC Tv channel nilichokishuhudia ni wajumbe kumshangilia jaji Warioba mfululizo kwa kugonga meza bira kikomo mpaka speaker akaamua kuvuja kikao. nini kilitokea?// naomba mnijuze wana jamvi

wewe ndiye uliona, tuambie nini ulichokiona zaidi
 
Nathani tatizo ni kwamba Sheria inasema rais azindue bunge ndio warioba awasilishe ila ccm wakalazimisha warioba awasilishe kwanza ili rais amjibu. Wapinzani wamegoma
 
Weee nawe zuzu kweli, warioba hakuzomewa... kilichotoke wajumbe wamekata warioba asiseme chochote haondoke hili Jk Ndio anze kuongea... kama kanuni zinavyosema.

Sita akalazimisha warioba akapigiwa makele hasionge basi.
Mkuu uzuzu wangu uko wapi ndio nimeuliza nasikaia tetesi....kumbuka mimi sipo kwa Luninga wala radio! mimi kama ni zuzu wewe ni SITA WETU! MNDUKU ,MAYALA MKUBWA WEWE!
 
Wadau samahani sana kwa ukimya maana nilikuwa nafuatilia kwa karibu mambo yanayotokea hapa mjengoni
 
....nadhani hii ni njia nzuri ya kupinga kuburuzwa na Mwenyekiti,.inabidi ndugu Sitta,awe makini sana, la sivyo heshima yake itashuka!
 
Back
Top Bottom