Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,438
- 826
Au kuna mtego kwenye hlooo??
Bila shaka ndivyo. Sidhani kuwa hawa watu ni majuha! Wanajua wanachokifanya na bila shaka wataibuka na kitu chenye manufaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kuna mtego kwenye hlooo??
mkuu hoja yako nzuri lakini umeiweka si mahali pake!kwani huyo anaetakiwa kuja kuzindua bunge la katiba yukowapi? Analipa umuhimu gani hili jambo mpaka ashindwe kuliweka kwenye vipao mbele vyake vya ratiba? Je inawezekanaje kuwakilisha katiba kwenye bunge ambalo halijazinduliwa?
Ni kweli mtu huyu alieweza kutoa msafara toka uswis na kukatiza ziara kuja kumzika bwanamdogo marehemu mbungei kumuandalia njia nzuri mwanae tena ikijua akizika tu anarudi adis kwenye mkutano haoni kama ipo haja kuzindua bunge? Haoni kama hili ni muhimu kuliko lala salama bwana mdogo umuachie mwanangu jimbo?
Ni ubinafsi, mtindio wa fikra, kupuuzia au ni nini?
Najiuliza aina ya mtawala tulienae.
wadau labda naomba mnisaidie kuna jipya gani ambalo hawa UKAWA wanatarajia endapo Mh. Rais atakuja kuzinduwa hilo bunge? kwa ufupi kuna tija ipi hapo??
nathani tatizo ni kwamba sheria inasema rais azindue bunge ndio warioba awasilishe ila ccm wakalazimisha warioba awasilishe kwanza ili rais amjibu. Wapinzani wamegoma
Ohoooo! Kumbe hoja yao ni rais ahutubie kwanza! Mimi nilidhani asubuhi waliridhiana na Kiti baada ya maelezo aliyoyatoa kabla ya kuliahirisha Bunge. Kumbe waliburuzwa! Hapo patamu, Sita akae sawa hata kwa maswala yenye utata.
Kunawatu wanajifanya wamechanganyikiwa ni watu wa ajabu sana sijui nani kawaambia kuwa katiba hutungwa kwa kupiga meza.Hizi fujo za nini tena?
kwani kanuni si ilitenguliwa leo asubuhi?Hivi Sita hakujua kanuni? Au aliamua kupotezea?
Hii nchi ngumu mkuu hapa mzee wa viwango tayari maji ya shingo!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Anamatatizo makubwa sana ya uono wa uongozi.
huyu 6 ni msengele sana mamake zake
tatizo inaonekana ni wajumbe kutoka vyama vya chadema,cuf,nccr na wale wengine wa upinzani na makundi ya kiraia hawakubaliani na mabadiliko ya kanuni yaliyofanywa na mwenyekiti yanayomtaka jaji warioba kusoma rasmu ya pili ya katiba kabla ya rais kuhutubia bunge hilo.Kwa wao wanataka kwanza rais ahutubie bunge hilo ndipo jaji warioba apewe wasaa wa kuwasilisha rasmu ya katiba bungeni.
Kunawatu wanajifanya wamechanganyikiwa ni watu wa ajabu sana sijui nani kawaambia kuwa katiba hutungwa kwa kupiga meza.