Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
mkuu miccm haina lengo zuri kwenye huu mchakato wa katiba
mkuu watakuwa na lengo zuri wakati tangu awali walikuwa hawataki kusikia kitu "katiba mpya"! hata kwenye ilani ya ccm 2010 hakuna hiko kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu miccm haina lengo zuri kwenye huu mchakato wa katiba
Kwani bangi inayopulizwa hapo mjengoni imetoka mkoa gani?
Kilichofanywa na wafuasi wenu ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kuanzisha fujo huku wakisahau wajibu na majukumu yao katika mchakato wa kupata katiba mpya
Think out of box Mkuu. Wiki tatu zilitumika kwa kupitisha kanuni za kuendesha bunge hili maalumu. Leo mtu mmoja anatumia kiti chake kukiuka kanuni zile zile! Wanasimama watu kutetea/kupinga
Ukiukwaji wa kanuni wewe unasema matumizi mabaya ya pesa!! Haki na usawa vina gharama zake. Anawezaje kuwasilisha rasimu ikiwa bunge halijazinduliwa? Siyo utaratibu wa kikanuni. Tuweke ushabiki pembeni.
Kanuni inasemaje?Naona hawa wajumbe toka vyama vya siasa hasa chadema na cuf wako na agenda yao ambayo bado hatuijui kabisa sielewi kwa nini wanataka rais aanze kuhutubia kwani warioba ni mkuu kuliko rais.
Nimekupata vzur, but naomba kueleweshwa, kle kfungu skumbuk ni cha ngap ambacho Mwenyekti alitumia kutenguwa ili rasmu izndulia then ndo Dhaifu aje ahutubie klikuwa haksuport au ni vip??
Mkuu,kama utakumbuka wakati wa kujadili hicho kifungu,waziri Mkuu alitoa hoja ya kiprotokal kuwa aanze jaji warioba ndipo RAIS afuate. Lisu na AG Werema walimjibu vizuri sana kuwa mwenyekiti wa Tume aki-table a drafted constitution maana tayari kazi imeanza,sasa rais atakuja kuzindua nini! So kikanuni ni kuwa anaanza Rais kuzindua bunge kisha Warioba anapresent a drafted constitution. Maana ndipo mchakato rasmi unaanza.
Nimekupata vzur, but naomba kueleweshwa, kle kfungu skumbuk ni cha ngap ambacho Mwenyekti alitumia kutenguwa ili rasmu izndulia then ndo Dhaifu aje ahutubie klikuwa haksuport au ni vip??
kumbe Werema wakati mwingine anatumia vizuri nywele zakeMkuu,kama utakumbuka wakati wa kujadili hicho kifungu,waziri Mkuu alitoa hoja ya kiprotokal kuwa aanze jaji warioba ndipo RAIS afuate. Lisu na AG Werema walimjibu vizuri sana kuwa mwenyekiti wa Tume aki-table a drafted constitution maana tayari kazi imeanza,sasa rais atakuja kuzindua nini! So kikanuni ni kuwa anaanza Rais kuzindua bunge kisha Warioba anapresent a drafted constitution. Maana ndipo mchakato rasmi unaanza.
We mwenyewe umeandika utumbo alaf unakua defensive.kama wamemtukana mnyazi mungu wewe inakuhusu nin,acha mnyazi mungu mwenyewe atawashughulikia.