Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Kilichofanywa na wafuasi wenu ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kuanzisha fujo huku wakisahau wajibu na majukumu yao katika mchakato wa kupata katiba mpya

Think out of box Mkuu. Wiki tatu zilitumika kwa kupitisha kanuni za kuendesha bunge hili maalumu. Leo mtu mmoja anatumia kiti chake kukiuka kanuni zile zile! Wanasimama watu kutetea/kupinga
Ukiukwaji wa kanuni wewe unasema matumizi mabaya ya pesa!! Haki na usawa vina gharama zake. Anawezaje kuwasilisha rasimu ikiwa bunge halijazinduliwa? Siyo utaratibu wa kikanuni. Tuweke ushabiki pembeni.
 
Nimekupata vzur, but naomba kueleweshwa, kle kfungu skumbuk ni cha ngap ambacho Mwenyekti alitumia kutenguwa ili rasmu izndulia then ndo Dhaifu aje ahutubie klikuwa haksuport au ni vip??
 
nilianza kuwa na wasiwasi toka jumamosi sitta aliposema warioba atawasilisha rasimu ndipo bunge lizinduliwe na rais...wakati anayasema hayo alikuwa kabisa anafahamu kanuni zinasemaje

ilikuwa ni sitta kutumia japo punje tu ya busara zake kuwashirikisha wajumbe katika hayo maamuzi badala yake anatumia ubabe

nakumbuka vizuri wakati wa upitishaji wa hiyo kanuni waziri mkuu alipinga kwa hoja ya kiprotokali lakini alijibiwa vyema na tundu lissu na AG-werema, na walifafanua barabara msingi wa ile kanuni

sasa sitta anakurupuka na kuja na maamuzi yake kutoka kichwan kwake ilihali kuna kanuni tayari

ukitumia common sense kisheria na wala siyo kanuni, once warioba aki-table the drafted constitution then kazi itakuwa imeanza, sasa rais atakuja kuzindua nini...hewa?

Anachokifanya sitta ni kujikomba kwa ccm ili aonekane ni mwenzao...sasa if he needs that siyo kwenye katiba aangalie fursa nyingine!
 
Rais wa nchi hii anatawala kiujanja ujanja sana Wakuu kama hamjagundua yaani anategea tegea kama vile kicheche kinawinda kuku....very sad
 
"Kwamba ratiba ya Rais haimruhusu kuja Dodoma leo wala kesho" Raisi gani anajali mambo mengine kuliko Katiba ya nchi ambayo ndiyo Uhai wa Taifa hili....Namind sana
 
Rais wa nchi hii anatawala kiujanja ujanja sana Wakuu kama hamjagundua yaani anategea tegea kama vile kicheche kinawinda kuku....very sad
 
Sitta amekuwa kama Jumanne Malecella ili tu apate Uraisi
 
Huyu Raisi zero kabisa, hivi anafanya shughuli gani muhimu kiasi kwamba hana nafasi ya kuzindua Bunge? Hizi siku zote mpaka ijumaa Wabunge watakuwa wanapokea pesa ya bure.
 
Nimekupata vzur, but naomba kueleweshwa, kle kfungu skumbuk ni cha ngap ambacho Mwenyekti alitumia kutenguwa ili rasmu izndulia then ndo Dhaifu aje ahutubie klikuwa haksuport au ni vip??

Mkuu,kama utakumbuka wakati wa kujadili hicho kifungu,waziri Mkuu alitoa hoja ya kiprotokal kuwa aanze jaji warioba ndipo RAIS afuate. Lisu na AG Werema walimjibu vizuri sana kuwa mwenyekiti wa Tume aki-table a drafted constitution maana tayari kazi imeanza,sasa rais atakuja kuzindua nini! So kikanuni ni kuwa anaanza Rais kuzindua bunge kisha Warioba anapresent a drafted constitution. Maana ndipo mchakato rasmi unaanza.
 
Busara za mwenyekiti hzo kaamua kufuata protocal......
teheheeeeeeeteeeeheeetee..........
 
Mkuu,kama utakumbuka wakati wa kujadili hicho kifungu,waziri Mkuu alitoa hoja ya kiprotokal kuwa aanze jaji warioba ndipo RAIS afuate. Lisu na AG Werema walimjibu vizuri sana kuwa mwenyekiti wa Tume aki-table a drafted constitution maana tayari kazi imeanza,sasa rais atakuja kuzindua nini! So kikanuni ni kuwa anaanza Rais kuzindua bunge kisha Warioba anapresent a drafted constitution. Maana ndipo mchakato rasmi unaanza.

Wameula wa chuya safari hii walitaka jk aje aponde hotuba ya warioba.
 
Nimekupata vzur, but naomba kueleweshwa, kle kfungu skumbuk ni cha ngap ambacho Mwenyekti alitumia kutenguwa ili rasmu izndulia then ndo Dhaifu aje ahutubie klikuwa haksuport au ni vip??

Kutengua kanuni maana yake ni kuruhusu asiyemjumbe kuwepo ndani ya kikao. Haina maana ya kuzikiuka kanuni zilizowekwa.

Ccm si walikuwa watata tangu mwanzo, ilikuwaje wakaruhusu kanuni hyo kupita ilihali wanajua inapingana na matakwa yao? Inabidi wakubali kuwa wazembe kwa hilo na waheshim kanuni
 
Ila wapiga kura ndo wanafanya kina Sitta wawe jeuri,mana wanajua hata wakifanyiweje hawana effects kwny secret balot
 
Mkuu,kama utakumbuka wakati wa kujadili hicho kifungu,waziri Mkuu alitoa hoja ya kiprotokal kuwa aanze jaji warioba ndipo RAIS afuate. Lisu na AG Werema walimjibu vizuri sana kuwa mwenyekiti wa Tume aki-table a drafted constitution maana tayari kazi imeanza,sasa rais atakuja kuzindua nini! So kikanuni ni kuwa anaanza Rais kuzindua bunge kisha Warioba anapresent a drafted constitution. Maana ndipo mchakato rasmi unaanza.
kumbe Werema wakati mwingine anatumia vizuri nywele zake
 
Bwana wee wasituzingue....kwani kuna tatizo gani akihutubia Warioba kwanza? Kwahiyo wakae bure wamsubiri mpaka Raisi apate nafasi? Kwani wameambiwa Raisi anakuja kubadili rasimu?....how will hotuba Yake affect speech ya Warioba....kila mtu ataanza kwa nafasi yake.....let the game begin...ni insecurities zisizo natija...wanazidi kusogeza siku tu hapa...wakati kuna watanzania siku ya Leo hawajala chakula....
 
We mwenyewe umeandika utumbo alaf unakua defensive.kama wamemtukana mnyazi mungu wewe inakuhusu nin,acha mnyazi mungu mwenyewe atawashughulikia.

Nadhani Nilitanguliza ONYO Mapeeeeeeeema Kuwa Kama Huna Hoja Pita Tu. Lipo Unalolitafuta na Utalipata tu....!!!!!!
 
Back
Top Bottom