Sipati picha muda huu kuna watu 'naniliu' zinapwita balaa. Yanagonga 'kufuli' yanarudi.
Tanesco chondechonde
nimeacha kazi zangu za shamba nisikilize kinachoendelea huko,,,nione pinda akijiuzulu,,muhongo akijiuzulu,,warema akijiuzulu,,,na wote wanaohusika,,,,
Hawa tanesco mamake zao, pumbavu sana
lissu ni noma sana hizo data daaah namtamani aiseee.