Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Wananchi wanakamatwa mashati kuchangia 50,000 za mahabara wkt watu wanatempa na blnz
 
Opulukwa anaomba muongozo kwamba ....linaongelea uchaguzi wa serikali za mitaa, naachana nae
 
Jamani miongozo ya uchaguzi was serikali za mitaa inatuchukulia muda. Walete report
 
Si kulikuwa na kipindi cha maswali na majibu?
 
Zungu: miongozo yote tumepokea! Order paper inasema escrow ni leo na hati iko mezani. Taarifa ya kiti ni kuwa bado bunge halijapokea barua yeyote ya mahakama! Miongozo yote nitajibu jioni! Bunge chali hadi saa kumi na moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom