Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Mhhhh!!! Leo ni leo
Asemaye kesho ni muongo Leo mpaka kieleweke Sendeka anaongea hadi wanna Ccm wamevalia junga
Mhhhh!!! Leo ni leo
Mkuu sikiliza tbc
Ripoti iletwe tujadili!
Sidhani kama itasomwa asee,zungu is buying time here