Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,181 Nov 26, 2014 #341 Nasari anasema sasa mwenyekiti aseme habari za kutaja vyama ikome! Na analalamika umeme umekatwa kaambiwa!
Nasari anasema sasa mwenyekiti aseme habari za kutaja vyama ikome! Na analalamika umeme umekatwa kaambiwa!
A Apendeki2 Senior Member Joined Oct 20, 2014 Posts 161 Reaction score 77 Nov 26, 2014 #342 Wananchi wanakamatwa mashati kuchangia 50,000 za mahabara wkt watu wanatempa na blnz
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Nov 26, 2014 #343 Ahsante Nasari.....ni kweli wamekata umeme
R rpg JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 3,620 Reaction score 1,480 Nov 26, 2014 #344 Miongozo upumbavu tu!
Loading JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 594 Reaction score 101 Nov 26, 2014 #345 Nasari Kaongeza kuwa na umeme umekatwa huku mitaani
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,181 Nov 26, 2014 #346 Opulukwa anaomba muongozo kwamba ....linaongelea uchaguzi wa serikali za mitaa, naachana nae
D DGL Member Joined Nov 4, 2014 Posts 10 Reaction score 1 Nov 26, 2014 #347 Dg janja Nasali "umeme umekatwa..."
deepsea JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 3,287 Reaction score 947 Nov 26, 2014 #348 Manina zao tanesco wamekata umeme
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Nov 26, 2014 #349 Zungu watuzingua bhana, lete ripoti
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,181 Nov 26, 2014 #351 Zungu anauliza nani ana muongozo
A Apendeki2 Senior Member Joined Oct 20, 2014 Posts 161 Reaction score 77 Nov 26, 2014 #352 Jamani miongozo ya uchaguzi was serikali za mitaa inatuchukulia muda. Walete report
R rpg JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 3,620 Reaction score 1,480 Nov 26, 2014 #353 Si kulikuwa na kipindi cha maswali na majibu?
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Nov 26, 2014 #354 deepsea said: Manina zao tanesco wamekata umeme Click to expand... Wapi huko pole sana
K Kilaza JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 3,324 Reaction score 1,379 Nov 26, 2014 #355 Waache mbwembwe walete taarifa bhana
Loading JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 594 Reaction score 101 Nov 26, 2014 #356 Mh muda unapita na hawa wabunge wanarudia kile kile
karugila JF-Expert Member Joined Nov 6, 2014 Posts 1,275 Reaction score 687 Nov 26, 2014 #357 Tumia solar power
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,833 Reaction score 3,753 Nov 26, 2014 #358 Bulaya alifaa kuwa ukawa huyuu
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,181 Nov 26, 2014 #359 Zungu: miongozo yote tumepokea! Order paper inasema escrow ni leo na hati iko mezani. Taarifa ya kiti ni kuwa bado bunge halijapokea barua yeyote ya mahakama! Miongozo yote nitajibu jioni! Bunge chali hadi saa kumi na moja.
Zungu: miongozo yote tumepokea! Order paper inasema escrow ni leo na hati iko mezani. Taarifa ya kiti ni kuwa bado bunge halijapokea barua yeyote ya mahakama! Miongozo yote nitajibu jioni! Bunge chali hadi saa kumi na moja.
A Apendeki2 Senior Member Joined Oct 20, 2014 Posts 161 Reaction score 77 Nov 26, 2014 #360 Taarifa rasmi bado bunge haijapokea stop order kuzuia kujadili ripot