Waiting!
Mjadala umeahirishwa baada ya miongozo kuwa mingi. Iweje issue nyeti hivi anaachiwa mwenyekiti? Maspika wote wameenda wapi?
Waiting!
Mkuu nilikuwa Nasikiliza kwa redio cjui ni nan aliyeomba muongozo wa kwanza kabisa
Naona ukisoma huelewi, rudia tena kusoma yakuingie, wacha kiherehere.
Hupitwi loh!!!!!!
usiku ulikua mfupi kwako,werema yuko shwari akose usingizi kwa lipi
Kwa lugha nyepesi ni kwamba wanasubiri hiyo stop order ili mchezo uishie hapo.vyovyote itakavyokuwa something very big is coming it's just a matter of time ngoja tuone kumi na moja si mbali kama tumekesha tukisubiriaJamani huku sikuzinguana?? Sasa wameahirisha mpaka saa 11 jioni ili watwambie wameshapata stop order?????,
Nani anazomewa
Sidhani kama itasomwa asee,zungu is buying time here
Watasomabtu km Mungu aishivyo