Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
"Mheshimiwa Spika tunakwepakwepa nini?? Ripoti iletwe hapa tujadili na tufanye maamuzi. Mimi ni CCM lakini siwezi kumhurumia waziri aliyechukua fedha IN GOOD FAITH wakati kuna hospitali hazina madawa. Mheshimiwa Spika tujadili na kila mtu abebe mzigo wake" Ester Bulaya.

umbea siyo mzuri ndugu esther hajataja jina la mtu wewe huyu uliyemtaja ni wewe kama unawivu naye ni mambo yenu ya kike hatujui mmekosana wapi usiyalete na huku.
 
Kitendo cha bunge kukubali kuahirisha mjadala na fununu kuwa mjadala wa ESCROW mpaka jioni wakati ilikuwa imepangwa asubuhi linadhihirisha udhaifu wa bunge wakati lina haki zote za kuajadili swala hili. Sidhani kama kuna haja ya kutafuta maridhiano juu ya hili as most of the BIG SHOTS wanahusika na majaji pia. So kwa kuwa idadi kubwa ya wabunge na wananchi kwa ujumla wanataka isomwe na kujadiliwa ni bora ikafanyika ivyo ili kuepuka kusababisha ghasia kwani macho na masikio ya wananchi yako dodoma.
IMG_7550.JPG
 
Watanzania tuingieni barabarani huu ni upumbavu tunafanyiwa, kiti kinapambana kulinda wezi hivyo.....jioni wasiposoma hiyo report narudisha kadi yao ya chama hawa wajinga
 
Naomba Kujuzwa, hilo zuio limeombwa lini? limesikilizwa lini na amri imetoka lini? Je, hilo jopo la majaji lilizingatia "public interest" ambayo inataka kubakwa, merits za kesi? na Mwisho kama hilo suala lilikuwa " a pure business transaction" why fear the Bunge? When are we going to have pure judges who are activist in nature the likes of Lord Denning? or the then AG of Zanzibar Hon. Dourado?
 
don't waste your time waiting for anything, this is Tanzania, hakuna kitu chochote kitakachotokea kwa mtu yoyote. Na maisha yanaendelea

kaka kweli,yani nimekaa kwenye TV Mda wote alafu wanatuletea habari za kike yani nimepatwa na hasira za ajabu yoyote anaitetea ccm angekuwa mbele yangu angekuwa hospital sa hivi.mungu nisaidie hasira zangu hizi
 
B3WEB9PIEAApwi1.jpg:medium
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mjadala wa Rioti ya CAG Kuhusu Akaunti ya Escrow hali tete Bungeni Mjini Dodoma.Wabunge wote washinikiza Mjadala huo Kusomwa lakini Mwenyekiti wa Bunhe Mbunge wa Ilala Mh Zungu ameahirisha Bunge mpaka saa kumi na moja jioni.Utata ulianza mara ya kiindi cha maswali na majibu kilioisha ndio wabunge wengi kutoka vyama mbalimbali vinavyounda Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania waliposimama kuomba Muongozo.SOMA ZAIDI>>>[/FONT]
 
Ni leo mara baada ya muda wa kuijadili ripoti ya ESCROW kuanza. Mwenyekiti kawaruhusu waheshimiwa kuelezea miongozo waliyoiomba kwake kwa kutoa fursa sawa kwa wote. Baada ya maelezo hayo ya miongozo Mwenyekiti akahitimisha baada ya kueleza umuhimu wa kuendelea na kuwasilisha ripoti hiyo kwa sababu za kutopokea zuio lolote toka katika mahakama ilikofunguliwa kesi ya zuio hilo.

Kilichoniacha kinywa wazi ni pale Mwenyekiti alipodai atatoa majibu ya miongozo nyakati za jioni. Hapa bado nikawa nimejawa na matumaini kibao ya kwamba sasa masikio yangu yatakisikia kile nilichokisikia mara nyingi masikioni mwangu kwa zaidi ya mwezi sasa juu ya sakata hili la ESCROW. Baada ya hilo akaahirisha kikao. Nikahisi kama baridi yabisi limenikamata na wote tuliokuwa mbele ya runinga tumepigwa na butwaa achilia mbaliwaheshimiwa walioko ndani ya bunge. Hadi sasa akili yangu haijatulia na sidhani kama nitafanya kazi vizuri leo hii kwa kuwa sijui ni jambo gani litatokea ndani ya haya masaa yapatayo masaa matano hadi hapo jioni.

The Listener
Ex Detective
 
Tangu nikufaham nikiwa hapo udom ukiwa ukifanya semina mbalimbali za vijana kama ile ya loyal village ukiwa na mh mdee leo umenikosha moyo kwa kusema huwezi kuwavumilia mawaziri wezi,hongera kuungana na watanzania mil 44 kupambana na wezi.
 
Jamani mwenyekiti kasema report hiyo sasa ni public document, Invisible atuwekee hapa tuidownload tuanze ichambua.
 
Last edited by a moderator:
Escrow ni kokoro.

Hapa sasa ndipo ninapowashangaa wanasiasa

Tundu Lissu ni mwanasheria mahiri na anaijua vyema sheria ya Contract na hasa partnership. Ukishakuwa partner na mtu huwezi kufanya kazi ambayo ni ya partnership ukasema unajiwakilisha mwenyewe, unakuwa unawakilisha hiyo partnership.

Mnyele kwenye suala hili anafanya kazi ya uwakili ambayo ndio kazi ya partnership ya firm ya Marando & Mnyele Advocates. Hivyo basi kwa mujibu wa sheria, Mnyele anafanya kazi ya Marando & Mnyele Advocates na hivyo basi hii kitu pia inamhusu Marando. Kwa maana nyingine Marando yumo.

Lakini nashangaa Tundu Lissu anafumba mambo na kusema Marando hayumo. Angesema partnership kati ya Marando na Mnyele haipo, ningemuelewa, lakini kama ipo Mnyele anafanya kazi kwa niaba ya Marando pia.
 
Hili ni bunge ambao viongozi wao ni waoga... Hawaijui dhamana walio nao ktk kuwatumikia watanzania...
 
Nipo mbeya wakuu ni station gani ya radio inatangaza hii mambo ya bunge leo....kwa wakazi wa mbeya naomba mnijuze..
 
Wabunge wote ccm+vyama vya upinzani wote m.a.v.i matupu.ktk mwaka mzima leo ndo siku nimekasika na kuudhika sana.
 
Wabunge tunaomba mfanye kazi yenu sisi wananchi ndio tumewatuma hapo.sisi ndio wenye nchi tunataka fedha zetu zirudi hatua zichukuliwe kwa hao wezi.kwa kweli hatutawaelewa kwenye suala Hilo.kuna taarifa kuwa jitihada zinafanywa Na mafisadi kuudhibiti mjadala huu. Jamani mnaiweka nchi katika hatari kubwa.matokeo yake yatakuwa mabaya Sana. Tafadhali mtusaidie hatuwezi kuingia wote bungeni kupigania haki zetu mko hapo kwa ajili yetu. Nasubiri hiyo Sa 11
 
Kwa taarifa ya Mwenyekiti Wa Binge IDD Zungu kuwa hawajapata zuio la mahakama na na kuahidikutolea mwongozo jioni ,name kutoonekana kwa sipika Bungen inaashiria mama huyo yupo kufuatilia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom