Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
haswa nasi tuliopo vyuoni tutoloke Muda wajameni ni saa ngapiiiiiiiiii????????:confused2::confused2:
 
sasa nizahili kwamba zimebaki dakika hukumu kutorewa ndani ya bunge . Anna tibaijuka ulisema aukuja kuganga njaa sasa inakutokea puwani mbunge wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....,...
 

Kama ni kweli ...basi nitakubaliana na kamanda Tibaigana kuwa tuna hitaji rais dikteta ili nchi iweze kaa kwenye mstari mnyoofu.
 
Last edited by a moderator:
nipo ktk taasisi binafsi kuna heavy duty generator cartapillar...kuna dstv,kuna local ving'amuzi...yan hapa leo habanduki mtu...
 
Wasipojadili kwa kisingizio cha zuio la mahakama. Yatatokea ya Burkina Faso au Missouri Marekani
Hakuna anayewezazuia nguvu ya umma
i
 

Soma hii kitu, ni kutoka kwenye katiba ya sasa ya JMT:
Ibara ya 100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika
Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema
au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
 

How does this relate to this thread, mbona mnapenda kuharibu flow ya thread za watu, si ukaanzishe yako ili uweke huo upuuzi wako?
 
Hebu nitajie frequency zake ktk masafa ya FM.

TBC TAIFA FM FREQUENCIES
MHz RDS regional program transmitter location Pmax
87.5 Dar es Salaam/Kisarawe (des)
87.7 Dodoma (ddo)
88.4 Kigoma (kgm)
88.5 Mwanza (mwz)
89.2 Mwanza (mwz)
89.6 Tanga (tng)
91.6 Arusha (ars)
92.3 Nachingwea (lin)
93.5 Lindi (lin)
98.7 Songea/Matagoro (rvm)
99.7 Zanzibar (Unguja) (zbw)
105.9 Masasi (mtw)
 
Hapo ndipo ule USEMI WA SERIKALI DHAIFU UNAPODHIHIRIKA.

HAKUNA LOLOTE JIPYA HAPO. ISSUE IMEPIKWA IKAPIKIKA, JUST WAIT UTAONA NA KUSIKIA.

NAWASHAURI WATANZANIA TWENDELEENI KUWA WAJINGA MAANA TUNA AMANI.

Utanzania ni WITO!!!!!!! ha ha ha ha ha !!!
 
Kwa mwanza frequency za matangazo ya bunge kupitia tbc taifa radio ni 89.25 pia naona clouds fm wapo live toka bungeni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…