PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Kweli hii issue hata mlemavu wa akili lazima ash2kie dili! Ati CCM wanapigania uwazi!!??
kwa uzoefu wa wajumbe , bunge limetulia kwa muda baada ya kifungu cha 37 na 38 kurukwa hadi siku nyingine, hapo ndipo utawatambua wenye jaziba, matusi, kelele, kejeli na aina za fujo zingine.
Tundu Lissu anaanza kujibu hoja za wajumbe hapa
Nakubaliana na wewe!
Kwa ujumla, Tundu Lissuameonesha uzalendo wa hali ya juu sana. Nawapongeza sana wajumbe wa Kanuni kwa mshikamano wanaoouonesha na kufanya kazi kwa pamoja na kwa ushirikiano bila ya kujali tofauti zao za kisiasa na kiitikadiTundu Lissu anaanza kujibu hoja za wajumbe hapa
Mkuu, hakika hapa tunajadili Katiba. Hivyo tofauti zetu za kisiasa tuzipelekejukwaa la siasa
Tundu Lissu anamshukuru Chenge kupitia Ummy Mwalimu kwa ufafanuzi wao mzuri
Ngoja nimsikilize vizuri akipangua hizi hoja, angepaswa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali!
Mkuu, Lissuanajibu vizuri hasa ikizingatiwa kuwa anawakilisha mawazo ya kamati
Mkuu, wakati wake ukifika tutajiachia. Kanuni za 37 na 38 ambazo zinahusu upigaji kura hazitajadiliwa leoYeah nakubaliana na wewe, lakini ukweli ni kuwa kura za wazi ni hoja ya ccm, na hadi leo hivyo vifungu hivyo vimeshindikana kujadiliwa kwa sababu ya msimamo mkuu wa ccm! thats the fact! na nimekuwa very honest katika hili!
Uko sahihi ila nadhani ni sahihi zaidi kama angekua Waziri Mkuu ili Taifa liongeze kasi ya ukuaji wa kiuchumi ukizingatia Waziri Mkuu ndiye msimamizi na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali. Umepata picha ya ninachikimaanisha mkuu?
Mkuu, wakati wake ukifika tutajiachia. Kanuni za 37 na 38 ambazo zinahusu upigaji kura hazitajadiliwa leo
kanuni ya 35 imepita sasa tunaendelea na kanuni ya 36
Hivi bado kuna watu wana imani na hii kitu????!!!