TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa hiyo Seneti inaweza kumrudisha?Bado kuna bunge la senet ndio lenye jukumu la kuidhinisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Seneti inaweza kumrudisha?Bado kuna bunge la senet ndio lenye jukumu la kuidhinisha
Ukiacha ukabila, kosa kubwa alilofanya ni kujiunga na Ruto.Hivi amekosa nini huyu bwana?
Kwa Ajili ya nini? Ndugai alifanywa nini?Wakina ChoiceVariable na chiembe watanuna
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚
===
Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua kama atabaki kwenye nafasi hiyo au lah
View: https://www.youtube.com/live/AAovgfxO3r4?si=s-chEnrth4f3tjp5
Pia soma: Yanayojiri hoja ya kumuondoa Naibu Rais Rigath Gachagua leo Oktoba 1, 2024
kiburi, majivuno na matatizo ya kibinafsi ya msema kweli yatatuliwe kibinafsi,Mpaka zipotee hizi jamii za akina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah. 😕😕 Maana hawa ndo wengi zaidi hapa JMT.
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚
===
Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua kama atabaki kwenye nafasi hiyo au lah
View: https://www.youtube.com/live/AAovgfxO3r4?si=s-chEnrth4f3tjp5
Pia soma: Yanayojiri hoja ya kumuondoa Naibu Rais Rigath Gachagua leo Oktoba 1, 2024
Wakenya wanajielewa
Sio sisi Watanganyika
Tupo kama wehu
Bandari zinauzwa, Masai wamekuwa wakimbizi, Serengeti inakuwa Kwa uchimbaji, umeme wa kubip, utekaji, Rushwa nk
Lakini tunaona kama haya hayatuhusu
Acha kiwalambe, ususani wakikuyu.mpaka walifikia hatua ya kumtukana Uhuru kwakuwa alikuwa upande wa Raila.Ukiacha ukabila, kosa kubwa alilofanya na kujiunga na Ruto.
Ruto ni mbinafsi, hawezi iva chungu kimoja na mtu yeyote yule.
Ruto ni mzee wa kutumia fursa. Anapokuhitaji atajionyesha kama anaweza hata kufa kwa ajili yako, matumizi na mtu ya kuisha anakutupilia kule.
Uhuru alionya sana Wakenya kuhusu Ruto, lakini hawakumuelewa.
Mbona wanasema utajiri wake mkubwa unatoka kwa marehemu kaka yake NderituYaani Kenya Ukiwa Madarakani Ujue Hao Waliokuweka Muda Wowote Wanakutoa, Issue Ya Naibu Rais Ana Utajiri Wa Uyoga Kitu Ambacho Kimewaudhi Sana Jamhuri Ya Watu Wa Kenya
TTanzania Wenye Utajiri Wa Uyoga Serikalini Wapo Tena Ni Untouchable.
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚
===
Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua kama atabaki kwenye nafasi hiyo au lah
View: https://www.youtube.com/live/AAovgfxO3r4?si=s-chEnrth4f3tjp5
Pia soma: Yanayojiri hoja ya kumuondoa Naibu Rais Rigath Gachagua leo Oktoba 1, 2024
😂Kenya walikataa kuniuzia bandari zao, Tanzania wamenipa zakwao bure kabisa. Nawapenda sana ndugu zangu watanzania, ntawaletea tende na makobazi.