Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

Mbona wanasema utajiri wake mkubwa unatoka kwa marehemu kaka yake Nderitu
amejaribu kuhadaa wabunge kwenye hilo but haikusaidia na alipoteza muda mwingi kujitetea kwenye mambo mepesi huku yala mazito zaid akikosa muda kabisa wa kuyasemea kutokana na uzito wake 🐒
 
Wabunge wa Ruto na Raila ndio wamehusika.

Sasa unadhani Kuna Kiongozi yeyote ambae anaweza mfitini Rais na asiondolewe?

Tanznaia haihitaji hiyo kura Kwa watu wadogo ,unapewa Maelekezo na mkubwa tuu na unajiuzulu sio kupotezeana mda Bungeni bila sababu za msingi.eg Ndugai au Lowasa.
Mkuu, hongera kwa kurahisisha mambo, maana naona unalitaka Taifa kutekeleza/kuamua masuala yake bila kufuata taratibu na sheria walizo jiwekea.
 
Enzi za maandamano aliwahi jitokeza kwenye media na kusema anawaunga mkono waandamanaji na kumtaka Mh. Dkt Ruto awasikilize waandamanaji.
 
H

Huku kwetu bunge linaongozwa na watu wenye ubongo wataahira...wako kupitisha kodi za miamala,kunsifu raisi,kusema mitano tena...yani bunge la wenda wazimu
KAMA BUNGE LA WENDAWAZIMU SIUNDE WEWE UKAWE MBUNGE ? ACHA UTOTO
 
Wakikuyu wanaona ile nchi ni yao,wengine hawana haki ya kutawala
 
Back
Top Bottom