Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Huoni hata aibu kuzini.Huna moyo wa majuto weye hakika dunia ita stack miaka si Mingi
 
Safi waingize pesa tu
 
Hahahahahah eti unapanic .....utakua kichaa wewe unampanikia mtu humfahamu?? Kweli bangi mbaya ......
Toka lini mvuta bangi akapanic????
hatujuani humu ndio maana tunaelezana bila aibu, kuna mwenzio alivaa chu.pi kichwani anakimbia uchi kitaani mpaka leo kwa issue kama zako
 

Hahaaa. Hamisa hawezi kujiongeza. Yeye angeendelea na u-side chick wake kimya kimya tu haya yote yasingemkuta.
 
Hahaaa. Hamisa hawezi kujiongeza. Yeye angeendelea na u-side chick wake kimya kimya tu haya yote yasingemkuta.
Kuna vitu vingine ukijifanya mjuaji ndo unaambulia maumivu.....kwani angekaa kimya angepungukiwa nini
 
Hayo ya kumpenda mwanaume na kumsema Mama yake huu ya pichu yake

Mie 😱
 
Kuna vitu vingine ukijifanya mjuaji ndo unaambulia maumivu.....kwani angekaa kimya angepungukiwa nini
Hamisa yule kichwani hamnazo.. Hayo majibu yake ya leo wala hayakuwa na umuhimu wowote. Huwezi kumtukana mama mkwe (hata kama yeye kaanza kukutukana) halafu ukategemea ndoa iwepo au mahusiano yawe mazuri. Hajafunzwa kunyamaza yule binti.
Mi mama mkwe wangu alikuwa analianzisha makusudi ili umjibu aseme una mdomo/ dharau. Nilivyomuelewa tu, nikajua jinsi ya ku deal naye. Akilianzisha tu, mimi huyo nabeba kipochi, hi heels miguuni namwambia mama natoka kidogo. Nikirudi nambebea na vikopo vya castle lager au safari na nyama choma, maisha yanakuwa simple tu.
 
wanawake mna iq ndogo sana ndio maana waganga na wachungaj feki wanapata sana wateja jinsia ke..

hujiulizi why hizi drama zije huku nyimbo ipo youtube day 1? wewe unaweza gombana na mumeo halafu ukamsaidie kushoot video yake??? wanawake mngekuwa na akili za kufikiri zaidi... tungeendelea sana sabab nyingi ndio mama zetu ila hamfikiriii... na hamjui unganisha dots

hii ni biashara. hamisa anaplay role yake kama anachoelezwa cha kufanya.. esma pia.. mama diamond pia.. zari pia... na kila mtu...

hela inatafutwa kwa akili...

hakuna mtu mpuuzi hapo.. sio diamond, sio wema, sio hamisa, sio zari, sio esma.. wote wanajua wanachofanya na kuna mwanaume mastermind juu yao... anaetengeneza scripts...

 
Kabisaaaa sema Kanataka kujitia kamemkamata mondi mwache ale jeuri yake
 

Sasa IQ yako kubwa inakusiadia nini iwapo hufahamu hata umuhimu wa matumizi ya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi.
 
Ni rahisi mtu kuondoka tandale, lakini siyo rahisi tandale kumuacha mtu
 
Sasa IQ yako kubwa inakusiadia nini iwapo hufahamu hata umuhimu wa matumizi ya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi.

sikujibu chochote zaid ya hichi nachokuambia.. sipendagi ligi na mama zangu sabab najitambua
 
Hii familia hata bure hapana [emoji847][emoji847]
 
Mondi mwenyewe shwaini dizaini mswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…