Haya ni madhara ya kulelewa na Single mother ataoa mwanamke anayependwa na mama siyo anayempenda yeye.Hakuna wife material hata mmoja hapo.
Ningekuwa mimi ndio domondi ningepiga chini wote na kwenda kuoa msichana ambaye kila mtu asingeamini.
Halafu it's time now domondi akuwe na abadiliki. Haingii akilini hata kidogo mtoto wa kiume ukawaruhusu mama na dada zako wakaingilia mambo yako ya chumbani, unless your mama's boy .
Mwanamke atakayependwa na Mama Dangote ndio ataiweza si Diamond.Tatizo walimtia kiburi hao kina ESMA Leo wanamkengeuka mchana kweupee!
Yaani ile familia hakuna mwanamke wa kuiweza
Tatizo anashauka sana as if yy ndio wa kwanza kupendwa. Kulikuwa na haja gani ya kusema pussy yake tamu?Heheeeee KARMA is a what.
The puchi so good huku umchafu. Tununu apambane tu na hali yake dunia duara jana alikua mwenzie leo yeye.
Comment nzuri sana. Chibu mtoto wa mama. Apelekwe jandoNa haya ndio madhara ya kulelewa na Single mother. Mtoto wa kiume aliyelelewa na mama akikua atafanya anachopenda mama. Mwisho wa siku mwanamke atakayekuja kuolewa na Chibu ajiandae kupendwa na Bi Sandra na si Diamond.
Wanawake wengi hatuoni hii effect ya kulea watoto wa kiume pekee yetu kwa sababu tu tumefarakana na mzazi mwenza tumekuwa wepesi sana kuwatenga watoto na baba zao lakini matokeo ndio kama hayo.
Unaweza kupika ila watu wakala tu ili kukuridhisha lkn kumbe chakula kibayawanamsema dada wa watu sio msafi hajui kupika usikute na waowao hakuna hata kimoja walichomzidi ni vile tu waume zao hawana muda wa kutoa yanayoendelea chumbani
[emoji5]Comment nzuri sana. Chibu mtoto wa mama. Apelekwe jando
Za siku nyingi.Madale nimewanyooshea mikono kwakweli,hii yote ni kuipa kiki iyena[emoji23][emoji23]
Ila hamisa aachane na hizi mambo alee watoto wake
Wanawake wengi hatuoni hii effect ya kulea watoto wa kiume pekee yetu kwa sababu tu tumefarakana na mzazi mwenza tumekuwa wepesi sana kuwatenga watoto na baba zao lakini matokeo ndio kama hayo.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kumbe mleta mada unatumia Tekino
[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]the bold nae yupo insta[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona viji like hapo
Sijasema amefanya vizuri ila kumbuka diamond hakua na mke ujue daimond ni huyo mwingine na hamisa wote walikua wazinzi tu ila uzinzi wa mmoja ulikua unajulika mwingine haujulikaniHivi alichokifanya Hamisa Ni kizuri? Hakuna asiyejua kwamba Dai alikuwa na mtu yeye akaingilia kati, angempa nafasi Dai na familia yake wajue njia gani watumie kumpa taarifa Zari yeye kaanza vituko Mara kaacha herini na nk. Nini Sasa hiyo? Kajifungua familia imepanga mazuri tu wakamwone kwa Siri yeye anawaita shilawadu huoni huo ni uchonganishi na uswahili? Bado Dai na familia yake wamechukia badala wamalize taratibu anakimbilia mahakamani anadai matunzo ya mtoto, kwani alikuwa hapewi matunzo? Hivi huyu kunguru ni wa kuweka ndani? Huyu bint si bure kipo alichokifanya kwa Dai mbona hivyo vitimbwi hamfanyii aliyezaa naye mwanzo? Huyu akiolewa na Dai tu hakai atafanya vituko aachike akimbilie mahakamani wagawane Mali ndicho anachokitaka, mapenzi kwa Dai hana kabisa, ati watu wanamuona wivu kazaa na matajiri kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Simtetei Hamisa kwenye hili ila yule mama amezidi,hakuna mkwewe asiyewahi kumjibu hata mmoja..Wema na upole wake wote alishawahi kumjibu japo enzi zile IG haikua kihivyoo..Hamisa yule kichwani hamnazo.. Hayo majibu yake ya leo wala hayakuwa na umuhimu wowote. Huwezi kumtukana mama mkwe (hata kama yeye kaanza kukutukana) halafu ukategemea ndoa iwepo au mahusiano yawe mazuri. Hajafunzwa kunyamaza yule binti.
Mi mama mkwe wangu alikuwa analianzisha makusudi ili umjibu aseme una mdomo/ dharau. Nilivyomuelewa tu, nikajua jinsi ya ku deal naye. Akilianzisha tu, mimi huyo nabeba kipochi, hi heels miguuni namwambia mama natoka kidogo. Nikirudi nambebea na vikopo vya castle lager au safari na nyama choma, maisha yanakuwa simple tu.
Uko sahihi 100% na ndo ukweli mtoto wa kiume alelewe na baba yakeNa haya ndio madhara ya kulelewa na Single mother. Mtoto wa kiume aliyelelewa na mama akikua atafanya anachopenda mama. Mwisho wa siku mwanamke atakayekuja kuolewa na Chibu ajiandae kupendwa na Bi Sandra na si Diamond.
Wanawake wengi hatuoni hii effect ya kulea watoto wa kiume pekee yetu kwa sababu tu tumefarakana na mzazi mwenza tumekuwa wepesi sana kuwatenga watoto na baba zao lakini matokeo ndio kama hayo.
I doubt kama Diamond ni mtu wa kumsikiliza sana mamake linapokuja suala la mapenzi!Na haya ndio madhara ya kulelewa na Single mother. Mtoto wa kiume aliyelelewa na mama akikua atafanya anachopenda mama. Mwisho wa siku mwanamke atakayekuja kuolewa na Chibu ajiandae kupendwa na Bi Sandra na si Diamond.
Wanawake wengi hatuoni hii effect ya kulea watoto wa kiume pekee yetu kwa sababu tu tumefarakana na mzazi mwenza tumekuwa wepesi sana kuwatenga watoto na baba zao lakini matokeo ndio kama hayo.
Nimekuelewa sana tu!I doubt kama Diamond ni mtu wa kumsikiliza sana mamake linapokuja suala la mapenzi!
Diamond aliishi na Wema kwa takribani miaka 4 huku Wema kila cku akiandamwa na scandal!
Sidhani kama Bi Sandra aliufurahia ule uhusiano lakini Diamond alikomaa na Wema!
Tuje kwa suala la Zari!
Wapo watakaosema Bi Sandra angevumilia yote ya Wema Sepetu ili kumtumia umaarufu wake!
Lakini wakati Zari alipoanza na Diamond; Zari hakuwa na umaarufu kama aliokuwa nao hivi sasa! Zari alifahamika sana Ug na sio Tanzania!
Lakini ile anaanza uhusiano na Diamond tu; kashifa dhidi ya Zari zikaanza kuibuliwa na ku-trend mitandaoni huku Kinara wa kusambaza kashifa hizo akiwa ndugu wa karibu wa Ivan huku Ivan mwenyewe akichekelea tu bila kujali kwamba anayedhalilishwa na ndugu yake ni mama wa watoto wake!!
Kashifa zote za akina Bi Sandra kwa Hamisa; hazijafika hata 10% ya kashifa za King Lawrence kwa Zari!!
Mara Zari ni mzee
Mara Zari ana watoto wakubwa sawa na Diamond....
Zikaanza kuanikwa orodha za wanaume 40 waliolala na Zari!
Kilele cha kashifa kikawa a leaked distance sex video ya Zari!
Instagram ikachafuka!
JF ikatikisika!
Kila mmoja akatamani kuwa na smartphone afuatilie yanayojiri huko Instagram!
Hivi kuna mama wa Kiafrika ambae angependa kuona mtoto wake pekee wa kiume anakuwa na mwanamke wa aina hiyo?!
REMEMBER... wala si kwamba single mother ndivyo walivyo bali akina mama wengi wapo too protective kwa watoto wao wa kiume especially wakiwa na mali!
Leo hii wanaume wawasikilize mama zao basi angalau 50% ya ndoa zinaweza kuvunjika!
Back to issue ya Zari + Diamond mwanzoni mwa uhusiano wao!
Zikazushwa conspiracy theories za kila aina na kwa pamoja zikilenga kuonesha Zari amekuja kwa Diamond kwa lengo la kujipatia mali za Diamond!!
Tusisahau; hata familia ya Diamond, hususani mamake na Esma; wote hawa hawakumpenda Zari! Bila shaka hawa waliamini theory ya Zari kuja kuzengea mali za Diamond!
Diamond nae alitukanwa mitandaoni kwa ajili ya Zari!
Lakini pamoja na yote hayo; bado Diamond alikomaa na Zari! Hakusikiliza la familia yake wala la matusi ya mashabiki wa Wema!
BUT WHY NOW?!
Take it from me!!
Hivi sasa Diamond anaweza kurudiana na Zari wala si kwa sababu ya akina Bi Sandra bali kwa sababu washauri wake wenye akili wanaamini Zari ndie right person!!
Management yake na watu behind the scene wanaamini Zari ndie right person kwake!
Aidha, hoja hii inapata nguvu zaidi kwa sababu Hamisa alishaonesha u-stupid wake hadharani! U-stupid ambao, wakati mwanzoni akina B Sandra waliamini Zari kafuata mali za Diamond; hatimae wakaja kubaini kumbe ni Hamisa ndie aliekaa kimaslahi zaidi kuliko Zari!
Amini usiamini, Diamond hashauriki na hasikilizi la yeyote kwenye issue zake za mapenzi!!
Look at Kifesi! Amekuwa na Diamond for more than 3 years lakini post yenye mstari mmoja tu ya kumshauri boss wake issue za mapenzi; post hiyo hiyo imemfukuzisha kazi!!
Mwingine huyu.......umeanza lini kua mganga wa kienyeji......acha kuchukulia serious kila unachokisoma .....utapata pressure bureUmeshawahi kusoma kisa cha "mfalme mwenye maskio marefu"? ndo hii sasa umetafuta pa kutolea siri ukaona jf ndo pazuri huna kifua...tegemea kuaibika sasa siku si nyingi...
Humuoni jack anavyojibodoa bodoa IG..? Hakuna hata wa kumgusa,picha tu za harusi kuwekwa kwenye jarida mtu alifunguliwa mashtaka!Angejipa ukurugenzi wa TV ili kila siku wamuone katika Luninga na Mtoto wake ili mumtathmini hata kwa huyu dogo subiri uone [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Angezaa na mengi sijui ingekuwaje sasa???