Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kula ubuyu tuu kaka[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]
Na mie nimo si haba... Nifah kanifundisha ubuyu
Nimuonee kijicho Hamisa kwa kipi? Huyo mama Chibu hanipati ki umri leo itakuwa huyo Mtoto wa uswazi? Tena bahati yake kamkuta bi Sandy labda muelewa Mimi ambaye mlango ukifunguliwa natoka na nje kukagua kusiwe na mtu anasubiri nilale aingie mbona angelala kwenye gari maana chale zingenicheza nikalala sebuleniHumuoni jack anavyojibodoa bodoa IG..? Hakuna hata wa kumgusa,picha tu za harusi kuwekwa kwenye jarida mtu alifunguliwa mashtaka!
Tuweni wa kweli hata kama Hamisa Malaya ila amelenga bwana weee!
Na vijicho vipo watu wanamuonea!yaweza msiwe nyie ila wapo wengine wengi tu!
Mi sijasema wewe ndo wamuonea kijicho akuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umeona eeh!malezi yako tofauti na bi sandy mwenzio uzinzi wa watoto wake yeye anaushangiliaNimuonee kijicho Hamisa kwa kipi? Huyo mama Chibu hanipati ki umri leo itakuwa huyo Mtoto wa uswazi? Tena bahati yake kamkuta bi Sandy labda muelewa Mimi ambaye mlango ukifunguliwa natoka na nje kukagua kusiwe na mtu anasubiri nilale aingie mbona angelala kwenye gari maana chale zingenicheza nikalala sebuleni
Mkuu nimeongelea kwa Upande wa Diamond.True kila mtu kwenye hatua za kukua anahitaji father figure, lakini kwa hili ukiwatupia lawama wakinamama nashindwa kukuelewa.
Sababu zinazofanya watoto walelewe na single parent ni mzazi mmoja kufa, kifungwa jela, sio responsible au kuikimbia familia kwa ujumla.
Hakuna mtu ambaye anaweza kukuchukulia au kukunyima haki ya kumlea mwanao, otherwise use criminal wa kuogopwa.
Hatakaa atokee sababu ataona anafaidi kuliko yeye. Muda mwingi anataka akae na mtoto wake kuliko Diamond kukaa na mke wake na hapo ndipo tatizo linapoanzia.Yupi atakaependwa na yule mama?!looh!mtihani kweli!
Dada angu ana mkwe kama bi Sandra Kuna muda anatamani yule mama bwana amtwae
Madhara ni mengi sana sema usasa unatudanganya ndio ustrong woman.Uko sahihi 100% na ndo ukweli mtoto wa kiume alelewe na baba yake
Instagram ndo channel number ngap dstv ?!
Ukiwa na binti usijekubali aolewe na mwanaume aliyelelewa na mama peke yake
Mark my words! 95%wabinafs!
[emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unautani na na wanyakyusa eeehh!?!!??Circle of life yaani mjini kuna vituko
Akitoka tununu atakuja tanana pia!
Strong ComentFid q aliimba kwenye bongo hiphop
"mbaya zaidi ni kuwa na ndugu halafu kichwa maji"
Basi aolewe yeye na mwanae[emoji3] [emoji3] [emoji3] tusemeje sasaSimtetei Hamisa kwenye hili ila yule mama amezidi,hakuna mkwewe asiyewahi kumjibu hata mmoja..Wema na upole wake wote alishawahi kumjibu japo enzi zile IG haikua kihivyoo..
Zari alikua anawatukana kizungu mule ndani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna siku alikuta wanamsema akawanyambaaaa!!!mpk makaburi ya kwao!Heshima ikarudi ndo wakaanza kumpiga vijembe!
Yule bi mkubwa ndo shida,wale wadada wote wa diamond hata kama wana matatizo ila yule mama ana gubu haswaa
Mkuu nimeongelea kwa Upande wa Diamond.
Japo wanawake wengi tabia yetu tukifarakana na wazazi wenza tunawajengea chuki kwa mtoto hii inapelekea mtoto kulelewa upande mmoja.
Ishu ni wivu wa watanzania tu nothing more
Wengi wetu tunamchukia hamisa kisa kazaa na diamond amini maneno yangu
Angezaa na mtaifa mwingine tungeshangilia balaa
Kiba kaoa Kenya watu kimyaa,Ay Uganda kimyaaa wangeoa wabongo hawaa wangejuta
Hata Zari sio kua wanampendaaa...hapana watz tuna husda mnoo!!
Kawaida sana hyo kuletewa kina Hamisa [emoji23] [emoji23] labda uombe kingine!Hamisa anachukiwa kwa kutokua na adabu ya kulala na mwanaume ambae alikua anajua ni bwana wa mwanamke mwingine, halafu akawa anaona ana haki. Hakuna mwanamke anayependa kujua bwana ake analala na mwanamke mwingine tena mwanamke ana kiburi kabisa. Hata kama Dai ni muislam. Wanawake wote wanaomtetea Hamisa kisa tu hawampendi Zari, nawaombea Mungu awaletee Hamisa kwenye mahusiano yenu na ndoa zenu, ndio mtaelewa.
Kawaida sana hyo kuletewa kina Hamisa [emoji23] [emoji23] labda uombe kingine!
Tushayazoea kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake!
Usilaumu kidonda ,laumu Ulipojikwaa!
Hamisa aliibiwa majizo na Lulu tena ana katoto kadogo tu kipindi Niko mbona watu hawakumchukia Lulu..
Ukimegewa tafuta mnyonge ummegee!
Karma karma karma...sio kwa Hamisa tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] hata kwa Zari pia Karma imeplay part akaibiwa mondi kama yeye alivyomdhalilisha Ivan don kijana aliyempa hadhi,heshima na jina la ubosslady!Majizo hakua wa Hamisa, Hamisa amlimkwapua Majizo kwa shoga yake , nimemsahau jina. Karma will always follow Hamisa mpaka atakapojifunza to find a man ambae hana commitment kwa another woman. All of this is karma, Lulu to take Majizo was karma to Hamisa for what she did to her friend. Now the same thing is happening because she knew Zari was there, na she behaved so disrespectful to Zari. Karma is now visiting her.
Karma karma karma...sio kwa Hamisa tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] hata kwa Zari pia Karma imeplay part akaibiwa mondi kama yeye alivyomdhalilisha Ivan don kijana aliyempa hadhi,heshima na jina la ubosslady!
So this karma will visit all ladies ambao wameumiza wenzao wawe wanaume au wanawake!
Hukuona Zari alivyokua anammistreat Ivan etiiii...!!!????