Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Le Mutuz aliwahi kusema ukijifanya unayajua mahusiano ya Zari na Chibu kiundani utakuja kuaibika, watu walimwona anaongea pumba. Nadhani jibu mnalo, hii nyimbo ilikuwa inaandaliwa njia ya kutokea kupitia vitimbi vilivyokuwa vikivumishwa mara ugomvi sijui mama na mwana hawaelewani.
 
Humuoni jack anavyojibodoa bodoa IG..? Hakuna hata wa kumgusa,picha tu za harusi kuwekwa kwenye jarida mtu alifunguliwa mashtaka!

Tuweni wa kweli hata kama Hamisa Malaya ila amelenga bwana weee!

Na vijicho vipo watu wanamuonea!yaweza msiwe nyie ila wapo wengine wengi tu!
Nimuonee kijicho Hamisa kwa kipi? Huyo mama Chibu hanipati ki umri leo itakuwa huyo Mtoto wa uswazi? Tena bahati yake kamkuta bi Sandy labda muelewa Mimi ambaye mlango ukifunguliwa natoka na nje kukagua kusiwe na mtu anasubiri nilale aingie mbona angelala kwenye gari maana chale zingenicheza nikalala sebuleni
 
Mi sijasema wewe ndo wamuonea kijicho akuuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umeona eeh!malezi yako tofauti na bi sandy mwenzio uzinzi wa watoto wake yeye anaushangilia

Maana hawara zake woteeee mama ndo mashosti zake...!!!

Na kua wa uswazi sio sababu eti asizae na wenye uwezo!!

Ni riziki tu jamani,kama ambavyo wengine wamezaa na kina masikini au wenye vipato vya kati.

Mungu ametukadiria tayari!
 
True kila mtu kwenye hatua za kukua anahitaji father figure, lakini kwa hili ukiwatupia lawama wakinamama nashindwa kukuelewa.
Sababu zinazofanya watoto walelewe na single parent ni mzazi mmoja kufa, kifungwa jela, sio responsible au kuikimbia familia kwa ujumla.

Hakuna mtu ambaye anaweza kukuchukulia au kukunyima haki ya kumlea mwanao, otherwise use criminal wa kuogopwa.
Mkuu nimeongelea kwa Upande wa Diamond.
Japo wanawake wengi tabia yetu tukifarakana na wazazi wenza tunawajengea chuki kwa mtoto hii inapelekea mtoto kulelewa upande mmoja.
 
Yupi atakaependwa na yule mama?!looh!mtihani kweli!

Dada angu ana mkwe kama bi Sandra Kuna muda anatamani yule mama bwana amtwae
Hatakaa atokee sababu ataona anafaidi kuliko yeye. Muda mwingi anataka akae na mtoto wake kuliko Diamond kukaa na mke wake na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
 
Simtetei Hamisa kwenye hili ila yule mama amezidi,hakuna mkwewe asiyewahi kumjibu hata mmoja..Wema na upole wake wote alishawahi kumjibu japo enzi zile IG haikua kihivyoo..

Zari alikua anawatukana kizungu mule ndani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna siku alikuta wanamsema akawanyambaaaa!!!mpk makaburi ya kwao!Heshima ikarudi ndo wakaanza kumpiga vijembe!

Yule bi mkubwa ndo shida,wale wadada wote wa diamond hata kama wana matatizo ila yule mama ana gubu haswaa
Basi aolewe yeye na mwanae[emoji3] [emoji3] [emoji3] tusemeje sasa
 
Mkuu nimeongelea kwa Upande wa Diamond.
Japo wanawake wengi tabia yetu tukifarakana na wazazi wenza tunawajengea chuki kwa mtoto hii inapelekea mtoto kulelewa upande mmoja.

Ndio maana nimesema, hakuna mtu ambae anaweza kukuzuia kulea mwanao, hakuna hiyo sheria. Babaake Diamond kabwaga anaona mjomba kafanikiwa ndio anarudi kutia huruma!
Ngoja nikwambie kitu, mimi ni baba, 100% hakuna mtu mwenye uwezo wa kumpandikizia chuki mtoto wangu. Tusitake kuleta visingizio, bonding with your kids is the only way you can win their love.
 
Ishu ni wivu wa watanzania tu nothing more

Wengi wetu tunamchukia hamisa kisa kazaa na diamond amini maneno yangu

Angezaa na mtaifa mwingine tungeshangilia balaa

Kiba kaoa Kenya watu kimyaa,Ay Uganda kimyaaa wangeoa wabongo hawaa wangejuta

Hata Zari sio kua wanampendaaa...hapana watz tuna husda mnoo!!

Hamisa anachukiwa kwa kutokua na adabu ya kulala na mwanaume ambae alikua anajua ni bwana wa mwanamke mwingine, halafu akawa anaona ana haki. Hakuna mwanamke anayependa kujua bwana ake analala na mwanamke mwingine tena mwanamke ana kiburi kabisa. Hata kama Dai ni muislam. Wanawake wote wanaomtetea Hamisa kisa tu hawampendi Zari, nawaombea Mungu awaletee Hamisa kwenye mahusiano yenu na ndoa zenu, ndio mtaelewa.
 
Kawaida sana hyo kuletewa kina Hamisa [emoji23] [emoji23] labda uombe kingine!

Tushayazoea kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake!

Usilaumu kidonda ,laumu Ulipojikwaa!

Hamisa aliibiwa majizo na Lulu tena ana katoto kadogo tu kipindi Niko mbona watu hawakumchukia Lulu..

Ukimegewa tafuta mnyonge ummegee!
 
Majizo hakua wa Hamisa, Hamisa amlimkwapua Majizo kwa shoga yake , nimemsahau jina. Karma will always follow Hamisa mpaka atakapojifunza to find a man ambae hana commitment kwa another woman. All of this is karma, Lulu to take Majizo was karma to Hamisa for what she did to her friend. Now the same thing is happening because she knew Zari was there, na she behaved so disrespectful to Zari. Karma is now visiting her.
 
Karma karma karma...sio kwa Hamisa tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] hata kwa Zari pia Karma imeplay part akaibiwa mondi kama yeye alivyomdhalilisha Ivan don kijana aliyempa hadhi,heshima na jina la ubosslady!

So this karma will visit all ladies ambao wameumiza wenzao wawe wanaume au wanawake!

Hukuona Zari alivyokua anammistreat Ivan etiiii...!!!????
 
We nae kumbe wale wale tuu. Story ya Zari kumbe huijui. Eti Zari alikua ana mmistreat Ivan, lol! Ndio habari za kuokota okota. Please dont come here and write hearsays as facts. Zari and Ivan marriage ended long before Zari akutane na Diamond. Ivan alisha date wasichana kadhaa, na Zari alidate a few guys. Nyie mliomjulia Zari through Diamond ndio mmekaa kuunga unga story. Ivan mwenyewe alisha kiri kwamba alimkosea Zari sana kipindi cha ndoa including kumpiga sana. Huku mwishoni alipoona hapati mwanamke kama Zari ndio akaamua kukubali na kuwa nae in good terms. HIvi hujiulizi kama Zari alimkosea Ivan kiasi hicho Ivan angemuachia control ya mali zake? Si angeachia ndugu zake wamuangalizie mpaka watoto watakapo kua?
Embu pambaneni na karma za kulala na kuzaa na wanaume wa watu. That is why no one wants to wife Hamisa, because none of the men respect her.
 
Back
Top Bottom