Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Le Mutuz aliwahi kusema ukijifanya unayajua mahusiano ya Zari na Chibu kiundani utakuja kuaibika, watu walimwona anaongea pumba. Nadhani jibu mnalo, hii nyimbo ilikuwa inaandaliwa njia ya kutokea kupitia vitimbi vilivyokuwa vikivumishwa mara ugomvi sijui mama na mwana hawaelewani.