Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Kwa niaba ya mabaharia wa hapa katavi tunatanguliza shukrani
Hahahahaaaa Mkuuu Wasalimie Katavi hapo Mtaa wa Simba na Viota vyake.
Karibu Jiji la Tabata ndani ya Daaslam kucheleeeee.
 
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.

Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.

Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
Jiwe yeye kajipumzikia chattle, anasema msiogope corona.
 
Back
Top Bottom