Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji3][emoji3][emoji3]
poleni wana dar slums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleni wana dar slums
Nasikiaga dar es saalam nzima ni mabondeni. We mkuu upo dar es saalam ipi
Kule kupo kama kawa ila show siku hizi zimehamia tabata huku....Kwaiyo mzee wa hall five ile mitaa ya maki juice pale sinza sana mitaa ya kangoroo ambio sikuhizi haki happen kama zamani.
Watu miaka iyo tulikuwa tukimalizia ma boom mitaa iyo.
Hahahahaaaa Mkuuu Wasalimie Katavi hapo Mtaa wa Simba na Viota vyake.Kwa niaba ya mabaharia wa hapa katavi tunatanguliza shukrani
Jiwe yeye kajipumzikia chattle, anasema msiogope corona.Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.
Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.
Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
So u r a myth and what u have written is a myth"relevance" imebeba myth