Which poll is this?Opinion polls
Trump 47%
Harris 46%
Mbona walishamuweka black president, temna akaenda term 2.Hii ni rahisi sana
Trump atashinda huu uchaguzi
Reasons:-
Raia wa marekani na CIA haiwezi kurisk kufanya majaribio,katika kipindi cha miaka 300 wamuweke rais mwanamke,tena black american.......hii haitatokea
Issue za maana ndio zipi hizo....Huyu marekani huyu! Yani unajikeep busy kwa election za marekani, huo muda ungeutumia kufanya ishu ya maana
Mbona week mbili zilizopita ilionyesha Trump anaenda shinda....kwanini hawakumbeba Biden na sasa wanambeba Harris?Media kubwa zinambeba harris
WisconsinBeberu la US umeandika uzi huu ukiwa Jimbo gani hapo ebeberuni??
Waambie waombe hifadhi/ukimbizi kule Qatar au Tunisia.🤔View attachment 3054756
Tunaposema marekani ni taifa kubwa mnapenda kujizima data. Uchaguzi wa kihuni umefanyika majuzi Russian, ni watu wachache Sana walikuwa wanaufatilia. Ilijulikana Putin anaigiza tu.
Lakini taifa kubwa, teule uchaguzi unakuwa na mvuto. Kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kutabili moja kwa moja mshindi atakuwa na ni
Uchaguzi ni wa kidemocrasia, wawazi, wenye Ushindani, wenye mvuto, wenye watu wanaotumia akili. Huu sasa ndo uchaguzi
Kuna LA Kujifunza. Hata Putin kachukuwa upande wake.