Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Trump sio kabisa.

Ana sera mbovu sana za uhamiaji.

Hataki wahamiaji kule marekani.
Wahamiaji wana vurugu sana acha washugulikiwe

Niliishi Mozambique kama mhamiaji nikiwa na watanzania wenzagu nilichokiona kutoka kwa wagen pale Mozambique hakikuwa kitu kizuri

Kwanza ni wezi pili wahalifu tatu wanazarau wenyeji

Wahamiaji wengi ni washenzi sana

Mfano mdogo angalia mwanza kuna wahamiaji wanaitwa wakurya ni wezi baraa butimba gerezan wamejaa wao tu

Mhamiaji sio mtu wa kumuonea huruma

Angalia wasomali walivyo vuruga aman ya majiran zetu wakenya
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini Marekani

Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America

Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia Urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha

Asanten

Beira boy
Nanyupu
Trump anatakiwa na wamarekani wengi ila mfumo wa kishetani ambao umekamata america haumtaki sasa ashinde kwa neema ya Mungu tu kama alivyoshindaga Magu...
 
Donald Trump
Make America great again.
Screenshot_20241104-170105~2.jpg
 
Back
Top Bottom