Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Kiingereza najua kile cha kuombea maji tu, naomba unitafsirie kwa kinyakyusa
Timu ya kampeni ya Trump imeshaanza kulalamikia "uchafuzi " kama mnavyopenda kusema.
Pia walinzi wa amani kutoka Serikalini wameanza kuwekwa tayari kukabili wakorofi kuanzia leo hadi tarehe 7 hivi.
Kwa ufupi demokrasia ni neno tu...inapokuja issue ya maslahi flani ya kitaifa ubabe lazima utumike
 
Nimefiatilia chaguzi nyingi za Marekani. Huwa zinakuwa quite interesting.
Nafikiria Kamala Harris atashinda.
Sisemi nataka ashinde, ila nafikiria atashinda.
Nami namwombea Kamala Harris ashinde lkn litrump nalo nilibishi linaweza kupita hata kama watu wengi hatulipendi nakumbuka 2016 nako ilikuwa hivihivi.
 
Timu ya kampeni ya Trump imeshaanza kulalsmikia "uchafuzi " kama mnavyopenda kusema.
Pia walinzi wa amani kutoka Serikalini wameanza kuwekwa tayari kukkabili wakorofi kuanzia leo hadi tarehe 7 hivi.
Kwa ufupi demokrasia ni neno tu...inapokuja issue ya maslahi flani ya kitaifa ubabe lazima utumike
Kumnyakua tonge aliyeko madarakani ni mbinde. Lazima pawepo taiming' na ubabe fulani hivi. Trump akinyang'anywa tena, kwisha habari yake.

Sitaki itokee lakini kwa kauli za Trump na kile ambacho ametendewa toka 2020, hawezi kukubali. Yuko radhi kuanzisha fujo, hata kama itamgharimu maisha yake.

Halafu, kushindwa kwa Trump maana yake ni kwamba kesi zake zinazomkabili zitaendelea dhidi yake. Sasa kuhusu hilo Trump anafanya juhudi zote kuzuia lisitokee kabisa.
 
Mpaka sasaivi zimefunguliwa kesi 100 mbalimbali za kupinga matokeo
 
Hapana, mkuu. Japo mimi niko kwa Trump, ila Kamala Harris ni mwanamke mahiri sana. Usipotoshwe na vyombo vya habari ambavyo hukosoa kila herufi anayotamka mwanasiasa.
Mkuu Kamala hayuko smart kichwani kivile.
Speech zake zinaonyesha kuwa ni mtu wa kawaida sana.

Marekani ni taifa kubwa halipaswi kuongozwa na Mtu sampuli ya Kamala.
Ikiwa walimkataa Hillary mwanamke mahiri...Kamala hafai zaidi
 
Back
Top Bottom