Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Habari wadau humu?

Kwa burudani tu ,tuwekeni utabiri wa raisi ajaye USA kwa kuandika jina lake kwa thread hii then tufuatilie world news!!

Just for fun
 
Tunaposema marekani ni taifa kubwa mnapenda kujizima data. Uchaguzi wa kihuni umefanyika majuzi Russian, ni watu wachache Sana walikuwa wanaufatilia. Ilijulikana Putin anaigiza tu.

Lakini taifa kubwa, teule uchaguzi unakuwa na mvuto. Kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kutabili moja kwa moja mshindi atakuwa na ni

Uchaguzi ni wa kidemocrasia, wawazi, wenye Ushindani, wenye mvuto, wenye watu wanaotumia akili. Huu sasa ndo uchaguzi

Kuna LA Kujifunza. Hata Putin kachukuwa upande wake.

View attachment 3054756
kama hukufatilia mtanange wa urusi ni wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20241104_173103_Chrome.jpg
    Screenshot_20241104_173103_Chrome.jpg
    153.5 KB · Views: 3
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini Marekani

Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America

Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia Urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha

Asanten

Beira boy
Nanyupu

PIA SOMA

- Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini marekan

Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America

Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha

Asanten

Beira boy
Nanyupu
Kamala anaweza kuukwaa usamia kwa taarifa yako sasa.
 
Trump Hana nia njema na watu wenye asili ya afrika ,ndiyo maana katika utawala wake kulikuwa na matukio mengi ya watu wa asili ya afrika kuawa na polisi Marekani na serikali Ku to jari
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini Marekani

Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America

Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia Urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha

Asanten

Beira boy
Nanyupu
Pamoja sana kijana, nitashinda kwa kishindo
 
Back
Top Bottom