nzaghamba
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,212
- 1,431
....Machawa kwa kurukia mambo yanayowazidi kimo na uwezo hakika hamjambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Machawa kwa kurukia mambo yanayowazidi kimo na uwezo hakika hamjambo!
Unampenda Trump kwasababu anamtaja Yesu kristo kila pahalaI'm very happy jmn unafikiri Trump ananijua
🎺🎺🎺💪
I’m ok mr Ngosha. Good to see yo happy ass😀Yo, Mangi, you ok?
Glad to hear you’re alright.I’m ok mr Ngosha. Good to see yo happy ass😀
After he survived that attempt on his life, I laid low. I knew right there no one was going to stop him.Glad to hear you’re alright.
The convicted felon and the hillbilly are going to the White House 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸.
Yes tena nilimuombea Kwa Mungu ashindeUnampenda Trump kwasababu anamtaja Yesu kristo kila pahala
Wengi wanashangilia kwasababu hiyo
Hawa kina oboma Ni maluminat wanapinga ukrsto
Akili zako ni Robo ya zile za Chura kiziwi. Imagin alivyokua kiraza?Mnao wengi tuu, uneducated and ignorant mnapenda madikteta, Trump is more like African dictators, uzuri US kuna check and balance so kuna limit ya upuuzi wake
Mjinga ni wewe,trump aliwaupset sana Wana Texas ambapo ndo alikua na strong hold ya republican, na Wana electrol vote 40, kwa wajanja tulishajua akitoboa hapo it's all over maana Kamala hakua na ujanja kwenye swing states zoteMjinga mwingine huyu
Ila Mangi we si ulisema baada ya Biden kujitoa, kwamba sasa Trump atageuziwa kibao kwenye suala la umri? 🤣After he survived that attempt on his life, I laid low. I knew right there no one was going to stop him.
What else can I say bro?Ila Mangi we si ulisema baada ya Biden kujitoa, kwamba sasa Trump atageuziwa kibao kwenye suala la umri? 🤣
And I told you age wasn’t the issue with Trump because our eyes aren’t lying to us.
The problem with Biden wasn’t age. The problem with him was his diminished cognitive abilities.
😃😃 Usiogope 😀🤣🤣🤣Hapana Ninayo hela
Daaah!!!! Mada zenu hazinihusu kihivyo bt wht i learnt n kwamba ur thinking capacity is very low…Mwanamke kutawala sio tatizo tatizo anaweza kutawala kutokana na qualification yake haruhusiwi tu kusalisha. Kwetu Waislam hakuna sehemu kwenye Qur'an inaongelea kuwa haruhusiwi kuwa kiongozi wa nchi. Qur’an is silent on this particular point. The silence of the Qur'an on this crucial issue means that it has been left to the Muslim community to decide. Kuhusu kwa wafuasi wa Paulo sijui.
Huyo Kamala asingeweza kutawala vichaa wa US, hivi nyie mnawaona wamarekani wako sawa? We huoni Wayahudi wamewashika pabaya sana hawafurukuti wote wana madeni na hizo bank ni za Wayahudi ndio mana unaona Rais wa US lazima akagonoke kwa Wayahudi pale AIPAC.
Ni kawaida yao kuwabeba wagombea wa Democratic… rejea kwa Obama, Rejea kwa hirray…Media kubwa zinambeba harris
We mwenye capacity ya kufikiria umeshindwa kumjua Yesu ni binadamu ukamfananisha na Mungu, we ndio una akili 😄 Hizo kelele za kuwa mnashinda vita kwa kuvunja majumba na kufanya genocide ndio inaonyesha uwezo wa akili zako sawa sawa 😆 😂Daaah!!!! Mada zenu hazinihusu kihivyo bt wht i learnt n kwamba ur thinking capacity is very low…
Na hizo chuki zako kwa USA kisa anawasaidia wahasimu wako bac na ww katafute misaada huku UAE….
Ndugu zako wabinafsi, wameufya mkia huku wanachungulia kwa mbali waislamu wenzao wakichenyetwa na myaudi
Siogopi bwana V 😄 😄 😄😃😃 Usiogope 😀
Umesikia ss alichoongea kuhusuana na hizo Sheria za kipuuzi za mashoga na kufanya surgery za watt Kwa habari ya gender zao mkuu?Unampenda Trump kwasababu anamtaja Yesu kristo kila pahala
Wengi wanashangilia kwasababu hiyo
Hawa kina oboma Ni maluminat wanapinga ukrsto
Texas ni deeply conservative state, huko Democrats inajulikana winning ni zero chance, acha ujingaMjinga ni wewe,trump aliwaupset sana Wana Texas ambapo ndo alikua na strong hold ya republican, na Wana electrol vote 40, kwa wajanja tulishajua akitoboa hapo it's all over maana Kamala hakua na ujanja kwenye swing states zote
Pumbavu
Wapi nimesema yesu ni Mungu mzee?We mwenye capacity ya kufikiria umeshindwa kumjua Yesu ni binadamu ukamfananisha na Mungu, we ndio una akili 😄 Hizo kelele za kuwa mnashinda vita kwa kuvunja majumba na kufanya genocide ndio inaonyesha uwezo wa akili zako sawa sawa 😆 😂
We kichaa unadhani wote walevi wa shisha? Leta dalili moja ya Hamasi aliuwa watoto Israel au wanawake au civilian hio tarehe 7th October. Huna dalili utaishia kuongea bila dalili ndio mana nakuambia wewe hauko sawa ungekuwa uko sawa usinge sema Yesu ni Mungu.Wapi nimesema yesu ni Mungu mzee?
Mbona kama umelewa shisha? Ss hiyo genocide mmeiona leo sio?
Ila ile october 7 mlipovunja mpaka wa israel na kufanya mauaji kwa wasichana wadogo wasio na hatia na wengine kuwateka mpaka leo hii hawajulikani walipo sio genocide?
Kila mkilala mnamuota netanyau sio 🤣, jamaa anapiga kote kote sio lebanon, sio palestina, sio iraq kote fimbo tuu.
Na hao vibarakashia wenzenu wa UAE wakijaribu kutia pua nao fimbo tuu, mpaka tuwaondoe kwny uso wa dunia….
Tayana-wog akirud niite