Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Trump kidogo sio kichaa kama wengine lakini tatizo ni moja tu wote ni ma puppet wa kiyahudi.
Mpaka wewe ulitaka Trumpet ashinde ?....

Ushindi wa Kamala ndio ingekuwa nafuu kubwa kwa Wapalestina.
 
Mpaka wewe ulitaka Trumpet ashinde ?....

Ushindi wa Kamala ndio ingekuwa nafuu kubwa kwa Wapalestina.
Mimi nilitaka Trump ashinde sababu ni faida kwa wananchi wa US, kuhusu Palestine hao wanaume hawamtegemei mtu , isipokuwa Allah peke yake. Toka lini Hamasi alimtegemea Rais wa USA labda Israel.
 
Naelewa sn hiyo antichrist ajenda na beast spirit hata watt wa Mungu sio kwamba wamekaa tu ,wanaelewa pia,nao wanaomba Mungu!

Ndo nakwambia tena hashindi, km Mungu aishivyo !
Asante kumbe unaelewa. Ni utabiri ambao utatimia kuna namna huyo Mama ataingia tu as much as we don't like it.
 
Asante kumbe unaelewa. Ni utabiri ambao utatimia kuna namna huyo Mama ataingia tu as much as we don't like it.
Naunga mkono ni suala la muda tu hata kama sio Hillary wala kamala ila ipo tu day
 
Asante kumbe unaelewa. Ni utabiri ambao utatimia kuna namna huyo Mama ataingia tu as much as we don't like it.
Hataingia uelewa navyokwambia hataingia

Ss umenielewa?
Yaani Mungu ashindwe na hao beast?
 
Mwanaume unamchaguaje kamala?
Mwanamke kutawala sio tatizo tatizo anaweza kutawala kutokana na qualification yake haruhusiwi tu kusalisha. Kwetu Waislam hakuna sehemu kwenye Qur'an inaongelea kuwa haruhusiwi kuwa kiongozi wa nchi. Qur’an is silent on this particular point. The silence of the Qur'an on this crucial issue means that it has been left to the Muslim community to decide. Kuhusu kwa wafuasi wa Paulo sijui.

Huyo Kamala asingeweza kutawala vichaa wa US, hivi nyie mnawaona wamarekani wako sawa? We huoni Wayahudi wamewashika pabaya sana hawafurukuti wote wana madeni na hizo bank ni za Wayahudi ndio mana unaona Rais wa US lazima akagonoke kwa Wayahudi pale AIPAC.
 
Back
Top Bottom