Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Wahamiaji wana vurugu sana acha washugulikiwe

Niliishi Mozambique kama mhamiaji nikiwa na watanzania wenzagu nilichokiona kutoka kwa wagen pale Mozambique hakikuwa kitu kizuri

Kwanza ni wezi pili wahalifu tatu wanazarau wenyeji

Wahamiaji wengi ni washenzi sana

Mfano mdogo angalia mwanza kuna wahamiaji wanaitwa wakurya ni wezi baraa butimba gerezan wamejaa wao tu

Mhamiaji sio mtu wa kumuonea huruma

Angalia wasomali walivyo vuruga aman ya majiran zetu wakenya
Nina hakika huna uelewa wa yanayoendelea kwenye ishu ya uhamiaji marekani.

Hivyo sitaipa kwa uzito wake maoni yako.

Nayachukulia kama sehemu ya burudani tu.
 
upo sawasawa kabisaaa. kutakuwa na amani duniani na arab countries zitapatana na Israel. midlle east patageuka ulaya ndogo na watu wengi sana kutoka africa watazamia middle east kusaka kazi.
 
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.

Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
 
Marekani bado ipo ipo sana asee.

images (1).png

Hapo graph ilipoishia ndipo tulipo. USA bado ipo ndio sikatai ila after 10 years itakua ni kama UK tu, unaona UK ilivyo kwa sasa, miaka ya 80s ungemwambia mtu UK itakua hv asingekuamini
 
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.
Marekani kuanguka sio jambo la kesho au kesho kutwa...

Ila hujatuambia Kamala atachangia vipi kuiangusha Marekani.
 
Marekani kuanguka sio jambo la kesho au kesho kutwa...

Ila hujatuambia Kamala atachangia vipi kuiangusha Marekani.
Policy za Kamala.. hilo somo refu kdg

Pia kamala yupo pale kulinda watu. Trump amesema akirudi madarakani anadeal na Epstein list (Epstein alikua na kesi kama ya pdidy ila wakamuulia jela ili kumzima asije sema waliokuwa washiriki wake, na kwenye hao washiriki hadi billgates, red hoffman, na vigogo wengine wote wamo).

Raisi anaengia kulinda waovu kwenye nchi kubwa kama USA ni janga, hayo mambo ni ya kuyafanyia nchi za kiafrika
 
Back
Top Bottom