Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.

I had not see this earlier.

Anyway by now I hope, it is very much overtaken by events.
 
Trump anashinda mdosi lazima arudi akakate vitunguu jikoni hana jipya yeye na Biden.

Tena huyo mdosi atachapwa sio chini ya electrol votes 324

Kuna Wabongo wanaishi USA walijifanya humu wanaijua USA na kutuhakikishia Harris anashinda.

Kwa Hiki kinachoendelea Hapa kûna aibu kûbwa inaenda kutokea kama Hali itaendelea hivi.

Mpaka Sasa wazungu àmbao tunaambiwa Wana gender balance na wanasapoti Wanawake lakini ndîo hawajamchagua Kamala.
 
Mpaka saizi nani mshindi?????
Maana tuliambiwa tukiamka tu matokeo teyari.
Ila mpaka saizi sioni mshindi wa jumla.
 
US wanamrudisha Trump sio kama wanampenda lakini wameona siasa ya Biden ni Hatari kwao. Hicho kimama hakiwezi kushinda sababu ni partner in crime.
Ni balaa, na huku Tanzania sijui itakuwaje. Tatizo la sera za democratic ni kutoa mimba hilo ni shida sana. Ingawa under Trump hakuna jipya ila dunia bado haiamini ktk wanawake
 
Wabongo si unawajua .aneno mengi kuliko hata CNN 😄
 
Ni balaa, na huku Tanzania sijui itakuwaje. Tatizo la sera za democratic ni kutoa mimba hilo ni shida sana. Ingawa under Trump hakuna jipya ila dunia bado haiamini ktk wanawake

Kwa mara ya pili Marekani inathibitishia Dunia kuwa haiamini katika Mwanamke

Maana huyo Trump mwenyewe siô kihivyo
 
Wamarekani wengi wa kawaida ukiongea nao bila kujali chama huwa hawako tayari kabisa kuwa na rais mwanamke.
 
Na idadi wanawake ndio waliopiga Kura kwa wingi ukilinganisha na wanaume ..hahahaha!
 
Mwenye matokeo ya Philadelphia (PA) aniwekee hapa kabla sijaingia shambani,
 
Mpaka saizi nani mshindi?????
Maana tuliambiwa tukiamka tu matokeo teyari.
Ila mpaka saizi sioni mshindi wa jumla.
ila nimeshangaa sana. na lait ingetokeq africa sijui kina mmm sa hiz wangekua washajaza twiter.kule hakuna haja ya kadi ya mpiga kura wala kitambulisho na wao pia wameshangaa ukifika wanakulliza tu unakaa wap unapiga. je wanaharakat hii imekaaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…